Tanzanians, why are u guys so sad?

Haha, kwa kweli. Nyie hamna muda wa hivyo, either kieleweke au furaha tu wakati wote! [emoji3]
Stress zipo wakati mwingine. Mara nyingi huwa zinaletwa na wanasiasa, wengi wao ambao ni wachochezi. Midomo yao huwa ni kama imelaaniwa wakiongea tu ni chuki pekee yake. Ndio maana wengi wao, kutoka kwa vyama vyote viwili, wamenuna baada ya Raila na rais Uhuru kuketi pamoja na kuongea zao kwa amani. An African politician in action is just like a cheap canine dancing to the whiffs of a roasting chicken. ~Wise African proverb(one of my many contributions). πŸ™‚
 


True!, wenzetu at least mmepiga hatua.
Kwa wanasiasa wawili wakuu kama wa kwenu..to put their differences aside, sit together and have a mature conversation for the good of country, that's a Political Maturity right there and a big step.

No wonder mmetuacha mbali sana kwenye hii list.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…