Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ni JPM anamfanya akose usingizi? Hehehe..Vizuri tu atoke JF sababu sioni Magu akilegeza kamba. Atakua tu kama mwehu, asubuhi mapema kelele tupu.Mwanzo kabisa Magufuli alipoingia madarakani, huyu jamaa alikuwa post zake nyingi zilikuwa na direction ya kuomba ushirikiano kati ya Kenya naTanzania, alijua kwamba Magufuli ni game changer na Kenya haina uwezo tena kuambana na Tanzania. Alipoona Magufuli amekua mkali sana kwa Kenya, na aipoona Tanzania inafanya mambo ambayo Kenya imeshindwa kuyafanya kwa pesa yake, akaanza kujaza hasira na chuki, uwezo wake wa kujenga hoja ukapotea kabisa na sura yake halisi ya wivu, chuki, ukabil na hasira ikajitokeza.
Huyu jamaa ameanza kuathirika ki saikolojia, wakati tunakaribia uchaguzi 2015, huyu jamaa alikuwa akimpenda sana JPM, alikuwa akisema kwamba watanzania wakimchagua Magufuli, nchi yao itafika mbali sana, wakati huo Magufuli hakuwa amepewa nafasi kubwa ukilinganisha na Lowasa na Membe katika kura za ndani ya CCM. Alipoona Magufuli amechaguliwa, akaanza kuomna ushirikiani, alipoona hilo halitokei akaanza kuchanganyikiwa na kuanza hasira, huyu jamaa ni sawa kabisa na wale watu walioimbwa na Nyota Ndogo wa Kenya "Watu na viatu".Kumbe ni JPM anamfanya akose usingizi? Hehehe..Vizuri tu atoke JF sababu sioni Magu akilegeza kamba. Atakua tu kama mwehu, asubuhi mapema kelele tupu.
Mbona huyo mwenye kofia ni kama Julius Malema?[emoji1] [emoji1] [emoji1]Joto la jiwe vijiweni
![]()
Bitterness, Frustration and lack of self confidence Mwehu tu 😀😀😀Huyu jamaa ameanza kuathirika ki saikolojia, wakati tunakaribia uchaguzi 2015, huyu jamaa alikuwa akimpenda sana JPM, alikuwa akisema kwamba watanzania wakimchagua Magufuli, nchi yao itafika mbali sana, wakati huo Magufuli hakuwa amepewa nafasi kubwa ukilinganisha na Lowasa na Membe katika kura za ndani ya CCM. Alipoona Magufuli amechaguliwa, akaanza kuomna ushirikiani, alipoona hilo halitokei akaanza kuchanganyikiwa na kuanza hasira, huyu jamaa ni sawa kabisa na wale watu walioimbwa na Nyota Ndogo wa Kenya "Watu na viatu".
All these are Magufuli effects and shortminded.
He is Kenyan
Mkikuyu kakataliwa inamkereketa!Mwanzo kabisa Magufuli alipoingia madarakani, huyu jamaa alikuwa post zake nyingi zilikuwa na direction ya kuomba ushirikiano kati ya Kenya naTanzania, alijua kwamba Magufuli ni game changer na Kenya haina uwezo tena kuambana na Tanzania. Alipoona Magufuli amekua mkali sana kwa Kenya, na aipoona Tanzania inafanya mambo ambayo Kenya imeshindwa kuyafanya kwa pesa yake, akaanza kujaza hasira na chuki, uwezo wake wa kujenga hoja ukapotea kabisa na sura yake halisi ya wivu, chuki, ukabil na hasira ikajitokeza.
What fans? If a call is made for threads with much impact to contributors, will u rise up? See even this thread is as a result of my thread on Sylvia meaning since that day things r not okay with u! 15000 views in a week! And numerous thread to counter one thread by me and u claim of fans. May be fellow tribesmen.Nimeipenda hii, welcome to my long list of fans.
Nina fans ambao nikipost moja wanatiririka povu hadi raha, wanaishia kunijadili muda wote, such attention keeps me going.
No wonder wanasiasa hupenda controversies.
What fans? If a call is made for threads with much impact to contributors, will u rise up? See even this thread is as a result of my thread on Sylvia meaning since that day things r not okay with u! 15000 views in a week! And numerous thread to counter one thread by me and u claim of fans. May be fellow tribesmen.
Tetesi unamplekea Geza Ulole? Hahaha..Jamaa hakutambui anajua wewe ni katuni. Mwanzi1 anajua wewe ni mkabilaDude, I joined JF in 2013
I have posted 10,082 messages
I have received 7,428 likes
That's enough fuel to keep me going, I have engaged all manners of great thinkers in so many topics both in JF international and national sections. They all come and go, though I normally block the types that behaves like have been sent or paid to distract me with nothing but insults, whenever I see a troll that doesn't make sense in their responses, and seems to be specifically waiting for my every posts to release insults, I simply put them on ignore list.
Otherwise I usually tolerate everyone and engage them all whenever possible. In JF I've engaged both NASA and Jubilee supporters who in so many instances have made a lot of sense, I've engaged some very enlightened and patriotic Tanzanians whom though we differ in so many instances, but I usually see a lot of sense in their perspective, the likes of Mwanzi1
what sense do u make with this thread? Is there any truth in it? Kama si ukabila unakusumbua!Dude, I joined JF in 2013
I have posted 10,082 messages
I have received 7,428 likes
That's enough fuel to keep me going, I have engaged all manners of great thinkers in so many topics both in JF international and national sections. They all come and go, though I normally block the types that behaves like have been sent or paid to distract me with nothing but insults, whenever I see a troll that doesn't make sense in their responses, and seems to be specifically waiting for my every posts to release insults, I simply put them on ignore list.
Otherwise I usually tolerate everyone and engage them all whenever possible. In JF I've engaged both NASA and Jubilee supporters who in so many instances have made a lot of sense, I've engaged some very enlightened and patriotic Tanzanians whom though we differ in so many instances, but I usually see a lot of sense in their perspective, the likes of Mwanzi1
MK254 Mkikuyu- Akili timamu Geza Ulole
Vile naziangalia thread zikifikia hapa haha.
View attachment 748879
Guys haina haja kufika huku, tuko hapa kujadili topics of all forms and shapes. Yes sometimes kuna vijembe na malimbano ya hapa na pale but nothing personal. Haijawahi kutokea hata siku moja nikakosa usingizi kwa vitu vinavyo semwa mitandaoni hata kama ni vibaya vipi, namuomba Mungu nisifikie mahala nika kosa raha kwa sababu ya mitandao ya kijamii. Na nawaomba wa JF wanzangu don't take too personal na hizi thread, haya yote yatapita na kesho maswala mapya yataibuka ngoma uwanjani. Oh BTW i'm not supporting Mourinho, Chelsea or Man U. (I heard you asking) haha
Yote umeyasema sawa ila ukaharibu kwa kutaja Man U....hilo litimu ovyo, bora ungeishia kwa Chelsea, tena halifai... ni kama litimu lingine ovyo linaitwa Simba FC, BTW 29th kuna mtani jembe, presha hunikuta hata nikiwa Nairobi maana mahasidi wangu hapo Bongo huwa hawakawii kunibeza kwa Whatsapp ikitokea Yanga tumefungwa.
Kwa haya ya mitandao, mimi huwa napenda sana ku-engage wadau humu, kuna wakati JF tulikua tunapelekeshana humu kwa hoja kali kali hadi najikuta nafanya research kabla ya kuandika chochote humu, enzi hizo kulikua na great thinkers balaa, jamaa anapangua hoja zako hadi unajutia, inabidi uje upya. Tulikua tunajadili kila aina ya tasnia na nilikua najifunza mengi.
Humu tulikua tunabishana hata na wadau wa NASA (ila wazalendo), wa Jubilee, Watz na vyama vyao, pia wazalendo lakini nidhamu ilikua kitu cha msingi.
Tatizo tumeishia kujadili personalities, watu hawataki kukomalia kwenye kujadili mada zilizopo bila kukujadili na matusi kibao hadi inakua distraction, wa hivyo inabidi kuwatia kwenye block list maana @mods wa JF siku hizi hawafuatilii, hawana meno tena, wanaogopa baadhi ya wadau humu, enzi zile ban ilikua ni ban, yaani unapigwa nje wiki nzima ujitafakari. Wengi hawa wanafikiria wanayo monopoly ya matusi, kuna enzi nilikua nashukia watu kwa matusi hadi nikapigwa ban, yaani niliishia kuangalia hoja humu nikiwa nje, nakuta uzi ambao natamani nichangie lakini hamna jinsi, nachezea nje ya uwanja.
Ligi za matusi zinafaa kuachiwa mitandao ya huko nje iliyojaa vijana wanao balehe, watu huku wadhihirishe uwezo wao wa kufikiri, kupanga na kupangua hoja, kwangu mimi haijalishi hata kama wewe mfuasi wa Raila au Uhuru au Magufuli au Lowassa au Kagame (BTW wale jamaa wa Kagame waliokua wanatupelekesha humu sijui walienda wapi), cha msingi tetea hoja zako. Mimi kwangu nyumbani huwa nimeachia demokrasia, mke wangu humpigia Raila kura wakati mimi nampigia rais Uhuru na tunaendana tu maana kila mtu ana uhuru wa mtazamo wake.
Hata mimi sio mshabiki wa Man U, niko Arsenal na matatizo yao yote lakini Arsenal for life kwa sababu fulani za kibinafsi ..wink wink, ila kwa Simba umenionea maana ndio chama langu hilo halafu hata rangi zao kama Arsenal vile. haha
Navyo juwa mimi, matusi na kushambulia watu personally yana kuja pale mtu akiishiwa cha kujibu kwenye hoja. Maana kama bado una nondo za kujibu, matusi ya nini? JF ni mahala powa sana maana unakutana na watu wenye ueleo tofati, wengine wanajuwa sana wengine kidogo, cha msingi ni kuto dharau mtu yoyote kitokana na uwelo wake au kuwa na mawazo tofauti weingine kisiwe kigezo cha kukosea watu heshima.
Well said .MK254 Mkikuyu- Akili timamu Geza Ulole
Vile naziangalia thread zikifikia hapa haha.
View attachment 748879
Guys haina haja kufika huku, tuko hapa kujadili topics of all forms and shapes. Yes sometimes kuna vijembe na malimbano ya hapa na pale but nothing personal. Haijawahi kutokea hata siku moja nikakosa usingizi kwa vitu vinavyo semwa mitandaoni hata kama ni vibaya vipi, namuomba Mungu nisifikie mahala nika kosa raha kwa sababu ya mitandao ya kijamii. Na nawaomba wa JF wanzangu don't take too personal na hizi thread, haya yote yatapita na kesho maswala mapya yataibuka ngoma uwanjani. Oh BTW i'm not supporting Mourinho, Chelsea or Man U. (I heard you asking) haha
what sense do u make with this thread? Is there any truth in it? Kama si ukabila unakusumbua!
You can take this long composition and shove it up your ass.I don't owe you explanation of why I open any of the threads in JF, since you're not a mod or an employee, unless if you're a clandestine one, and probably the reason why mods have given you monopoly to insult anyone here, you keep on violating every rule and regulations but never even get a pat on the shoulder, they just keep on protecting you.
I remember once engaging you on your insults on a man to man, till I received an email threatening me with a permanent ban by mods akina Invisible so I chose to stay clear of you and any of your ilk that keeps on reincarnating like the recent one that crawled from God knows where, some dude calling himself kikuyu, he came calling with all manner of insults, had I not blocked him such that I don't see anything he writes, I would have engaged his insults and definitely mod will have come after me since they have a penchant for protecting Tanzanians.
This is an online public forum, where anyone is free to express their opinion without stepping on each other, if you feel agitated by a certain thread, simply stay away from it. I normally do the same, when I read a title of a thread and its author, is usually enough for me to choose whether to open, read and debate or let go, just that simple, but can't open threads insulting the authors with impunity simply because they expressed their right to post and debate.