Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumbu njooni huku mtoe povu au bado mnasubiri kwanza Mange Kimambi atasemaje?
Wewe kweli tako kama mpaka sasa hujui tu kwa kutajwa Serengeti Tanzania kwenye platforms kubwa kama Hollywood duniani hata wasingekuja lakini hivyo tu Serengeti imetajwa kama eneo lenye hotels za kuwapagawisha celebrities wakubwa kama hao basi we ni taahira.Usishangilie kama mama jusi.
Jiulize kwanza hizo hotels ni za nani?
Owner ni nani?
Ni mtanzania?
Wafanyakazi wangapi ni watanzania?
Owner- Mzungu/kaburu
Chef mkuu-mhindi.
General Manager -mhindi.
Wafagiaji walinzi waosha vyombo-Watanzania.
Hapo cha kushangilia ni nini??
.nyau kabisa.
26/04/2018
nakubali mimi tako.Wewe kweli tako kama mpaka sasa hujui tu kwa kutajwa Serengeti Tanzania kwenye platforms kubwa kama Hollywood duniani hata wasingekuja lakini hivyo tu Serengeti imetajwa kama eneo lenye hotels za kuwapagawisha celebrities wakubwa kama hao basi we ni taahira.
Millions of people around the world now know about Serengeti in Tanzania
Ficha upumabuvu wako kwenye mambo ya kitaifa unaonekana zuzu tunakubali mimi tako.
ila ungejua ninachokiongea.. sijasema kuwa 100% hakuna faida.. kipindi cha JK sereneti ilitangazwa hadi kwenye underground train za UK mpaka kwenye EPL.. wewe ulipata hata sh mia?
mimi naendaga hadi kwenye Worlid International Tourism Exhibition. Beijing, Brussels etc.
I know Better than you. Mange wewe
Uende wapi weye wakati masaa 24 upo shilawadu, kwahiyo ulivyokua ukienda huko Beijing ilifuata nini wakati unajua matangazo hayalisaidii chochote tourism industry?nakubali mimi tako.
ila ungejua ninachokiongea.. sijasema kuwa 100% hakuna faida.. kipindi cha JK sereneti ilitangazwa hadi kwenye underground train za UK mpaka kwenye EPL.. wewe ulipata hata sh mia?
mimi naendaga hadi kwenye Worlid International Tourism Exhibition. Beijing, Brussels etc.
I know Better than you. Mange wewe
Sawa mke wa zuzu.Ficha upumabuvu wako kwenye mambo ya kitaifa unaonekana zuzu tu
You know nothing.Uende wapi weye wakati masaa 24 upo shilawadu, kwahiyo ulivyokua ukienda huko Beijing ilifuata nini wakati unajua matangazo hayalisaidii chochote tourism industry?
Umeshapiga mswaki Kwanzaa?
mpaka nyang'au kasifia wewe unabisha kama nani?nakubali mimi tako.
ila ungejua ninachokiongea.. sijasema kuwa 100% hakuna faida.. kipindi cha JK sereneti ilitangazwa hadi kwenye underground train za UK mpaka kwenye EPL.. wewe ulipata hata sh mia?
mimi naendaga hadi kwenye Worlid International Tourism Exhibition. Beijing, Brussels etc.
I know Better than you. Mange wewe
Hahaha Tanzania inatangaza kwenye premier League, London subways, cnn international, androids ads, kuhusu hizo hahaha lugha ndio upo OP vibaya tour guides wa Tanzania wanaongea hizo lugha zote na nyingine hata hujazitaja hapo, Chinese, Japanese, Russian, Portuguese usiongee usilolijua nawajua tour guides wanaongea lugha 5 fluently like mother tonguesThe potential for Tourism TZ is massive, problem is little/ ineffective advertising. Hamna safari rally, hamna athletics, hamna rhyno charge, hamna football, rugby 7's. Halafu wengi wenu wenye kwa hospitality industry hawajui Kimombo ama lugha zingine kama french german etc, wanaenzi kiswahili sana
Sasa watalii watajuaje TZ? - Serikali yenu ikiwekeza kwa haya mavutio hizi projects za miundo mbinu zingefanywa bila hata shilingi moja ya mkopo.
You made my day[emoji2] [emoji2] [emoji2]Uende wapi weye wakati masaa 24 upo shilawadu, kwahiyo ulivyokua ukienda huko Beijing ilifuata nini wakati unajua matangazo hayalisaidii chochote tourism industry?
Umeshapiga mswaki Kwanzaa?