Hawajifunzi
tuuuuu,waling'ang'ani shule wakapewa,wakataka na vyuo wakapewa ambavyo
vyote vinasua sua...sasa mabenki wataweza kweli.Na hizo mahakama
watazimudu kweli?Wenzao walianza kuwekeza zamani enzi za Roman Empire na
sasa wanatumia kwa mpangilio.
Loading...Mkuu mimi ni mkristo wa RC, sasa kwa taarifa yako, katika kipindi chote cha economic downtown/criss, ma-bank ambayo yalikuwa yanatumia huu utaratibu wa sharia, hayakufilisika/kuyumba au kupata matatizo ya kifedha... Google hipo nenda kajifunze...
Historia ya benk inasema benki ulaya ilanza italy na wao wenyewe wameiga kutoka uarabun.
me sion kila kitu mnaleta ushindan kwan tatzo liko wap hutak usiende ukitaka nenda.
Mkuu mimi ni mkristo wa RC, sasa kwa taarifa yako, katika kipindi chote cha economic downtown/criss, ma-bank ambayo yalikuwa yanatumia huu utaratibu wa sharia, hayakufilisika/kuyumba au kupata matatizo ya kifedha... Google hipo nenda kajifunze...

Pope alishauri nchi za Ulaya kuangalia uwezekano wa kutumia Islamic BankingMkuu mimi ni mkristo wa RC, sasa kwa taarifa yako, katika kipindi chote cha economic downtown/criss, ma-bank ambayo yalikuwa yanatumia huu utaratibu wa sharia, hayakufilisika/kuyumba au kupata matatizo ya kifedha... Google hipo nenda kajifunze...