Tanzania's First Fully Sharia Compliant Bank

Unafikiri hata wenyewe wanaitumia sana basi.
 
Hawajifunzi tuuuuu,waling'ang'ani shule wakapewa,wakataka na vyuo wakapewa ambavyo vyote vinasua sua...sasa mabenki wataweza kweli.Na hizo mahakama watazimudu kweli?Wenzao walianza kuwekeza zamani enzi za Roman Empire na sasa wanatumia kwa mpangilio.
 
Historia ya benk inasema benki ulaya ilanza italy na wao wenyewe wameiga kutoka uarabun.

me sion kila kitu mnaleta ushindan kwan tatzo liko wap hutak usiende ukitaka nenda.
 
Hawajifunzi
tuuuuu,waling'ang'ani shule wakapewa,wakataka na vyuo wakapewa ambavyo
vyote vinasua sua...sasa mabenki wataweza kweli.Na hizo mahakama
watazimudu kweli?Wenzao walianza kuwekeza zamani enzi za Roman Empire na
sasa wanatumia kwa mpangilio.

Mkuu mimi ni mkristo wa RC, sasa kwa taarifa yako, katika kipindi chote cha economic downtown/criss, ma-bank ambayo yalikuwa yanatumia huu utaratibu wa sharia, hayakufilisika/kuyumba au kupata matatizo ya kifedha... Google hipo nenda kajifunze...
 
Loading...
 
Historia ya benk inasema benki ulaya ilanza italy na wao wenyewe wameiga kutoka uarabun.

me sion kila kitu mnaleta ushindan kwan tatzo liko wap hutak usiende ukitaka nenda.

Kuna bwana mmoja mwenye asili ya kiasia anaishi amerika anaitwa Nishad Awadh, kwenye interview na kipindi cha TV moja ya Saudi Arabia akiwa mjini New York alidai marekani iligunduliwa na waislam kabla ya Christopher Columbus, ameambiwa atoe ushahidi, ameingia mitini, mkuu labda pia tukudai ushaidi unaothibitisha kuwa ni kweli benk zilianzia uarabuni
 
Mkuu mimi ni mkristo wa RC, sasa kwa taarifa yako, katika kipindi chote cha economic downtown/criss, ma-bank ambayo yalikuwa yanatumia huu utaratibu wa sharia, hayakufilisika/kuyumba au kupata matatizo ya kifedha... Google hipo nenda kajifunze...

Mkuu huo ni muujiza, Miracles still happen glory to allah!
 
Mkuu mimi ni mkristo wa RC, sasa kwa taarifa yako, katika kipindi chote cha economic downtown/criss, ma-bank ambayo yalikuwa yanatumia huu utaratibu wa sharia, hayakufilisika/kuyumba au kupata matatizo ya kifedha... Google hipo nenda kajifunze...

Asante kwa kujitambulisha kuwa wewe ni mkatoliki,Tumsifu Yesu Kristo :becky:!!!Ni fikra zangu tu,sizilazimishi zifanane na zako.Asante kwa taarifa.
 
Huu ndio wakati muafaka wakutumia fursa za IJARAH, MUSHARAKAH, MURABAHAH, na kuachana na hizi GHARAR, ​zilizotapakaa huku mjin.
 
Mkuu mimi ni mkristo wa RC, sasa kwa taarifa yako, katika kipindi chote cha economic downtown/criss, ma-bank ambayo yalikuwa yanatumia huu utaratibu wa sharia, hayakufilisika/kuyumba au kupata matatizo ya kifedha... Google hipo nenda kajifunze...
Pope alishauri nchi za Ulaya kuangalia uwezekano wa kutumia Islamic Banking
Na hii ni kwa sababu in IB bank kama institution ni mbia ktk projects inazo finance
 
Back
Top Bottom