Tanzania's Lotus disqualified from Big Brother

Tanzania's Lotus disqualified from Big Brother

Grace Jones.....:biggrin1::biggrin1::biggrin1:

grace-jones.jpg

hahahaaaaa... she was like a witch....😛ound:😛ound:😛ound:
 
ameshatua??

nakumbuka alivyoanguka day one, hahahaaaaaaaaaa... mapepep kapatikana kweli aisee

sijui atapokewa na maua au mayai viza
 
Duuuuh! nimeipenda hiyo ya yeye kufananishwa na Shaba Ranks... KAPUYAKAAAA PUYAAAAAKAAA...
 
Am I dreaming???:bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl:
 

Attachments

  • 17th+Annual+ESPY+Awards+Arrivals+rIgHRDxhrX5m.jpg
    17th+Annual+ESPY+Awards+Arrivals+rIgHRDxhrX5m.jpg
    9.1 KB · Views: 27
Watu kumbe mnafuatilia eeh? mmefika hadi page ya ngapi sijui. Ngojea nkale zangu cereals.
 
mkuu tumehama kwenye BBA tunacheki stars look alike since page 2

hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
he!!! from lotus to shabba to hasheem.... who's next?
 
mmmh bora wapungue tu,tena sipendi kusikia tukihamasishwa kupiga kura,kwani tuliwatuma huko,huyo Big Braza awe anatutumia vocha kwanza,wakishinda hela zao wanakula wenyewe,hawawakumbuki wenye dhiki hata kidogo.,wakafie mbali wote nyambaff...
 
Duh na bhoke asepe maana tutapata mashemeji yatakula denda laivu tunaona....mmmmmmmm...aaaa..eee
 
niliwahi sema humu kuwa huyu atatoka haraka sana......Yametimia.......sijui nirithi mikoba ya shehe?!!!!1
 
Back
Top Bottom