Tanzania's Military Geniuses (1812-2012)

Tanzania's Military Geniuses (1812-2012)

There 3 levels that I am concerned with:

i. World's Military Geniuses
ii. Africa's Military Geniuses
iii. Tanzania's Military Geniuses

In this thread I am dealing with the third level/standard.

Very few Tanzanians make it into the second let alone first.

Now you go back where we started. You are applying affirmative action. Aren't you?
 
English ya darasa la tatu. Baada ya dont, didnt, doesnt verb inakuwa katika simple form. Hakuna Kiingereza cha, ''didnt attended''. Rudi shule hata Zoom College watakusaidia kwenye QT course

English is our second language. So don't complicate our lives here.
 
Now you go back where we started. You are applying affirmative action. Aren't you?

Nay. Kila level ina vinara wake japo wapo walio katika level zaidi ya moja. Ndio maana hata shuleni kulikuwa na vipanga wa darasa, mikondo, shule, kanda na taifa. Humu tunaangalia vinara wa ndani ya Tanzania. Miaka ya 1800 kila sehemu ilikuwa na vinara wake ila kitaifa vinara ndio hao kina Mkwawa, Kinjeketile, Chabruma na wengine wachache. Na miaka ya 1900 vinara wa kitaifa hawakuwa wengi. Hakuna affirmative action hapo. Hao wanaotaka tuwaweke watu tu eti kisa walikuwa makanali na majenerali ndio wanataka kufanya hivyo.
 
You really love that nation of ours. Now hupo viwanja chill out man and forget mavumbi for awhile.
 
I apologize if my words have offended some people.

Mkuu chukua tano kwa apology. However, instead of "blaming your words", the red part would have sounded better should it read: "I". Your words means you!
 
hhshhshsaahah...pole sana mkuu kwanini unapata hasira sasa,au na wewe ni mmoja kati ya waliopigwa panga hela zao za darful?
tumwache mzee wetu mpendwa MTAKATIFU LT.GEN.SHIMBO apumzike
umenifanya nimepata hasira kali sana. Kesho siendi kazini
 
Mada imehamishwa kwa nguvu kwenye jukwaa la historia au watu hawataki siri za sasa za kisiasa za jeshi zivuje?
 
Military genius reveals itself through the commander-in-chief's capability.
 
Silas Mayunga. Kwa nini hawa military geniuses wanakumbukwa sasa? Au Joyce Banda analeta tishio?
 
Silas Mayunga. Kwa nini hawa military geniuses wanakumbukwa sasa? Au Joyce Banda analeta tishio?

Funguka mkuu, katika viwango vya mwalimu ni nani aliowakubali kuwa ni 'military geniuses' hata kama hakuwapa vyeo vya juu jeshini?
 
Mkuu chukua tano kwa apology. However, instead of "blaming your words", the red part would have sounded better should it read: "I". Your words means you!

I sincerely apologize.
 
Silas Mayunga. Kwa nini hawa military geniuses wanakumbukwa sasa? Au Joyce Banda analeta tishio?

Andre,

Tanzanians are yearning for good news. They are looking for story lines which will elevate their morale. Unfortunately, there's nothing on the table. So some, I don't want to mention their names, have started to invent history.
 
Robert mboma was genius in his profession as a fighter pilot. He performed well during his studies in russia (former soviet union), he fought well in kagera war, his maneuver was incredible so to speak. Mboma kaharibu sifa yake kwa kukubali kushirikishwa kwenye ufisadi na wanasiasa wenye uchu wa ccm kwa kulitumia jeshi.
 
My kid Companero you are trying to paint the wind knowingly that doing so is but megalomania. I think I know what I am saying.

Call it military genius or war genius. If you mean what the term is, you can't pointlessly include those you think to be figures such as Mboma without reckoning to the history. Can you just give only one of Mboma's genius.

I don't want to go to the history of military Genius like Samori Touri who invented the method known as scotching earth or Moshe Dayan and other military gurus. Even Arjuma in this case is better than your "military genius" Mboma. If anything, Mboma is a dastard military genius.
You must be rewriting history,Samori Toure was never the harbringer of the "SCORCHED EARTH POLICY"
 
You must be rewriting history,Samori Toure was never the harbringer of the "SCORCHED EARTH POLICY"

Da afadhali umeliona hilo, maana nilikuwa najiuliza mara mbili mbili nilipoliona hilo maana tunachojua hiyo mbinu ilitumiwa na wakoloni dhidi ya Waafrika!
 
Zakumi, hili ndilo nililokuwa nalisema - being a 'fisadi genius' does not strip one of his 'military genius-ness':

Back
Top Bottom