Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Hilo swali limekua irrelevant, it doesnt matter how many months or quaters iwe 2 quarters or one quarter or even 3 quarters, muhimu is the yearly total tranaction,,,, at the end of the day the fact is $35B was transactedNimekuuliza very simple question, unashindwa kujibu umeamua kujaza server bila sababu, swali ni kwamba, kama hiyo $17B ni robo mwaka, kwahiyo kwa mwaka mzima ni kama $68B, more than your GDP which according to WB report ya 2017 your GDP is just under $65B?, jibu hilo swali, what was amount for Q1+Q2,?
M-Pesa continues to dominate Kenyan market - Mobile World Live
Angalia GDP ya Kenya according to WB report ya 2017 katika hii article
mnatafuta kila aina ya escape route lakini wapi, eti unajaribu kutumia link ya gazeti kama source ya WB, kwani hao WB hawana tovuti yao ilyo na data za GDP 2017.....
ungekua uliangalia date ya hio taarifa ungeona kwamba ni ya 25 JAN 2017 which means GDP inayoongelewa hapo ni ya 2016... jamaa wa kujifanya na akili nyingi cant figure that out