Tanzania's Nando has been Disqualified from the Big Brother House

yaani kapoteza muelekeo wote wa game....

anadhani yatatokea kama yale ya Kelvin na Eliza Gupta
 
Hahaha atashangaa yatatokea kama ya Richard na Tatiyana...Bahati ya mwenzako usiilalie mlango wazi....The guy is smart but he is very very controlling and insecure....I hate a man who is insecure ina maana hana confidence
 
Sie yetu macho tutamsubiri pale Kipawa......

maana ye tunajua lazima akanyage TZ sio ka Nando
anaeza pitiliza zake Marekani
 
hapo kwenye nyekundu siyo kweli , hakuna watu waoga kama watanzania.

Uoga au ujasiri wa mtu hautokani na utaifa wake ni tabia ambayo kila mwanadamu anayo indendepently kwaiyo unataka kusema taifa gan duniani hakuna mtu muoga?
 
kasome vizuri mjadala ulipoanzia.........

ila pia yes watanzania wengi ni waoga kuchukua maamuzi magumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…