Babylon
JF-Expert Member
- Feb 5, 2009
- 1,332
- 83
Tujiulize mimi na wewe mapenzi yetu yapo kwa nchi na unyoge wa watu wake au chama na serikali yake inayoneemesha viongozi wake kwa hazina iliyopo nchini?
Zaidi jisomee makala niliyoambatanisha na utafakari kwa makini kama viongozi wa nchi hii wamekuwa wakweli miaka yote hii.
Zaidi jisomee makala niliyoambatanisha na utafakari kwa makini kama viongozi wa nchi hii wamekuwa wakweli miaka yote hii.