TANZANIA’s President John Magufuli, once hailed by western media as a “bulldozer of graft” has officially lost the battle against corruption!

Ila wasio upande wenu wako ndani mwaka wa Tatu kwa tuhuma zisizothibitika,sembuse report. Report si query ni taarifa sahihi iliyobaini wizi.
 
CAG nae kaishia kuwa ansbet ngurumo.
Kachukua taarifa zingine toka taarifa za utouh na ku zi update halafu analeta mikanganganyiko tu,huyu mzee alistahili kwenda kuwa sheikh huko bakwata tu.

Mngeshakanusha.Tofautisha query na report. Ile imefanyiwa Kazi na kuthibitika ni kweli. Maana huwezi toa tuhuma zisizothibitika public
 
Ila wasio upande wenu wako ndani mwaka wa Tatu kwa tuhuma zisizothibitika,sembuse report. Report si query ni taarifa sahihi iliyobaini wizi.

Upande gani sasa unaouongelea? Haaahaaa. Siko huko kabisa boss. Pengine inabidi kutafuta maendeleo ya kudumu kwa kuamsha fikra zetu kidogo
 
Upande gani sasa unaouongelea? Haaahaaa. Siko huko kabisa boss. Pengine inabidi kutafuta maendeleo ya kudumu kwa kuamsha fikra zetu kidogo
Huwezi pata maendeleo ya kudumu kwenye Sera zilizokufa mfano ujamaa
 
Huwezi pata maendeleo ya kudumu kwenye Sera zilizokufa mfano ujamaa

Some of us make ourselves a laughing stock. Wr stand like towers and wait for some miracle to happen. Just complain from the sun set. We forget that we have an important role to play to make things happen.
Anyway ndio waafrika tulivyo
 
Ndahani said:
Kwa jinsi mambo yalivyo, kuiba ni kuweka kwenye personal issues zangu....kununua treni ya umma bila idhini sio kuiba... ni kuvunja sheria ya manunuzi
Kama tumefikia hapo unapodai, basi hatuna tena nchi. Kwa hiyo mwizi ambaye baada ya kuiba anatumia sehemu ya pesa alizoiba kufanya chenye manufaa kwa umma si mwizi...I rest my case.
 
How can a CORRUPT fight CORRUPTION?
A devil can't cast away other Devils
Kamongo has never ever fought corruption.

But what i can say is, he has vigorously tried to silence everything that keeps his corrupt acts revealed i.e BUNGE, CAG, Opposition, PAC, LAAC, TAKUKURU & The Media.
 
Masharti ya mauziano ni makubaliano ya pande mbili. Boeing (na wauzaji wote wa teknolojia za gharama kubwa) siku zote hutoa "ballpark figure" na hakuna hata mmoja anaefichua siri ya bei halisi ya mauziano.

Kajidanganyeni kwenye vijiwe vya mitaani kwenu si humu.
 
Stupid
 
Report ya manunuzi ya ndege iko wapi kama ni watu clean,hofu ya nn kuwanyima IMF report?
Nani kaiba pesa kwenye ununuzi wa ndege? kaiba sh ngapi? lini na kupitia account ipi?
Hamna data! mmebaki kuhisihisi tu.
 
Kama tumefikia hapo unapodai, basi hatuna tena nchi. Kwa hiyo mwizi ambaye baada ya kuiba anatumia sehemu ya pesa alizoiba kufanya chenye manufaa kwa umma si mwizi...I rest my case.
Prove beyond no doubt kama hizo hela zimeibwa. Unajua tunaongea sana kama kasuku halafu hatuna evidence yoyote ile. CAG amesema hizo hela zimeibwa?
 
Kama tumefikia hapo unapodai, basi hatuna tena nchi. Kwa hiyo mwizi ambaye baada ya kuiba anatumia sehemu ya pesa alizoiba kufanya chenye manufaa kwa umma si mwizi...I rest my case.
Hao MAFISADI wenu ni akina nani hao waliomshinda Magu? wamefisadi sh ngapi? kutoka account ipi? lini? na kupitia Bank gani?
"Sehemu ndogo" waliyotumia kufanya ya manufaa ni sh ngapi hiyo?
Hivi umakini wa aina hii aliondoka nao Dr Slaa? Hata Kafulila wa ESCROW anawashinda vitu simple kama hivi?
 
Kwa jinsi mambo yalivyo, kuiba ni kuweka kwenye personal issues zangu....kununua treni ya umma bila idhini sio kuiba... ni kuvunja sheria ya manunuzi
Mkuu hiyo motive unayokufanya uvunje sheria za manunuzi na usitake watu wajue ulivyovunja na sababu za kuvunja ndiko hofu iliko, nyuma ya pazia ni kwamba utakuwa umeiba kwa kutumia huo mgongo wa unazoita mega projects! If the president is clean, why rounding the bush when it comes issues of procurement? Hatari yake ni kubwa kuliko escorow na EPA
 
Nani kasema sheria ya manunuzi isifuatwe? Tunaongelea ufisafi wa trillion au kufuatwa/kutofuatwa kwa sheria ya manunuzi?
 
Nani kasema sheria ya manunuzi isifuatwe? Tunaongelea ufisafi wa trillion au kufuatwa/kutofuatwa kwa sheria ya manunuzi?
Ndo maana tunauliza huku kutokufuata sheria hakuwi reinforced na nia ovu ya wizi wa matrillion? Kwa level ya raisi, mwenye washauri wengi weledi, ni nn hasa kinachomsukuma asifuate sheria za manunuzi? Je hazijui? Au alipitiwa? Hakuna wa kumkumbusga? Maswali yote haya yananifanya niamini hii inafanyika intentionally na sio zaidi ya yeye kupata fursa ya wizi.
 
Naona comments za nyumbu zinahangaika kutema sumu kumchafua rais ila zimefail vibaya sana, mezeni sumu zenu mfe wenyewe naamini hamfiki 2020 mtakufa tu
 
Nakiri ni kweli hatujui mabilioni mangapi yalichotwa hazina na sehemu yake kununulia ndege...2.4 trilioni si haja. Kodi zetu zinachotwa kama vile hazina mwenyewe halafu tunaambiwa ndege imenunuliwa na sisi tunapiga vigelegele kama wehu. Hata Bunge halijui kiasi kilichochotwa na ripoti ya CAG inawekwa kapuni.
 
I don't think I said I support the use of public money without following procurement procedures. Ninachokataa ni hoja za kusema ufisadi bila kueleza ufisadi huo umefanyikaje. Kama Escrow au EPA kwa hela zile ilileta matatizo kama tuliyoona, ndio iwe trillions?
 
Kama Kafulila bilioni 300 tu za Escrow alikuja na majina ya wezi, account ya serikali iliyochotwa na Benki zilizotumimika kutuibia. Ninyi mnashindwaje matrilioni yote hayo? mnatuletea UMBEA tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…