Tanzania's Tundu Lissu recovering well at Aga Khan Nairobi

Mkuu ninyi mna uhuru wa kuongea sana, nilishangaa majuzi kusikia watu wakimshutumu Uhuru waziwazi kwa magazeti na redio kwa kitendo cha kuwatolea majaji lugha mbaya.
Tz ya sasa huwezi, malaika haguswi hata kama akikosea.
Nikweli kwamba katika eneo hilo Magufuli hafanyi vizuri sana, na ninaweza kusema tangu magufuli ameingia madarakani, Tanzania imekua ikiporomoka kimataifa katika viwango vya demokrasia hasahasa katika kipengele cha uhuru wa kujieleza, yaani freedom of expression, lakini bado ipo juu ya Kenya, mwenye kutaka kujua zaidi anaweza kwenda kwenye websites za transparency international ajionee,

Tatizo la Kenya ni mauaji ya wanasiasa na watu wanaojaribu kuwasema viongozi wa serikali, kama Jacob Juma, au yule mbunge aliyepigwa risasi akauliwa pamoja na dereva na walinzi wake wawili, au vitisho alivyopewa yule mwimbaji wa kijaluo aliyeimba nyimbo za kumsifia Uhuru wakati wa kampeni, wajaluo wamekasirika wanataka kumuua, amekmbilia Mwanza, au PLO anatishiwa maisha na wajaluo wenzake kwa sababu amekuwa wakili wa upande wa Jubilee, au kifo cha Msando, na wote hawa serikali inajidai kuchunguza lakini mwisho wa siku haitoi jibu lolote, ukiona uchunguzi hauna mwisho ujue serikali ina mkono wake

Huku Tanzania mambo haya ni mapya sana, yalianza mwishoni mwa utawala wa Kikwete kwa kutekwa kwa ulimboka, na katika kipindi hiki cha Magufuli naona yanashika kasi, hata hili la Tundu Lisu, sitegemei kama serikali au jeshi la polisi litakuja na taarifa yoyote ya maana zaidi ya kusema upelelezi unaendea, kwa mwendo huu wa magufuli upande wa demokrasia, muda si mrefu tutawafikia ndugu zetu wa Kenya katika list ya transparency international.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Can you please give out the impact of those blabla made by tundu .


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Oii
Mkuu ninyi mna uhuru wa kuongea sana, nilishangaa majuzi kusikia watu wakimshutumu Uhuru waziwazi kwa magazeti na redio kwa kitendo cha kuwatolea majaji lugha mbaya.
Tz ya sasa huwezi, malaika haguswi hata kama akikosea.
Mimi nataka sisi miAfrika tufike pale nchi ya Israel imefika kidemokrasia na kisheria.Sasa hivi bibi wa Waziri Mkuu anachunguzwa kwa sababu ya rushwa na Waziri Mkuu wa zamani Ehud Olmert ametoka jela juzi tu kwa shtaka alilopewa la kula rushwa.That's real rule of law example kutoka Israel.
 
...Well said [emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enlightenment
Acountability
Transparency.
Those are not the agendas of Tundu.


Refers to Mr Zito action s, goes with subjects EAT.

Sent using Jamii Forums mobile app
so lisu has no actions to go simultaneously with his beliefs??? we all know lisu is one of the bes lawyers and in the parliament he is the most vital MP when it comes to ammendment of bills at the same time he has enlightened masses abt legal issues in Tanzania from constitution to basic rights now basing on this fact what has lissu believed/said but didnt execute it in real life setting!!
 
With what references to call him best lawyer?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Oii
Geza ulole sio kweli kwamba serikali imekataa kumtibu, sheria na kanuni tulizojiwekea ni kwamba ni lazima mtu yeyote ili apelekwe nje, ni hadi pale itakapothibitishwa kwamba hawezi kutibiwa hapa nchini, na hiyo ni lazima madaktari bingwa wa serikali wathibitishe na kumpa uhamishao, hivyo basi ilimpasa apelekwe Muhimbili kwanza, na bunge lilishaanda usafiri wa ndege kumpeleka Muhimbili ambako madaktari bingwa wangemfanyia assessment na endapo wangeona hawawezi kumtibu wangetoa referral ambay inatumika kama supporting document ya kuruhusu wiza husika zitoe pesa na kufanya logistics nyingine ikiwemo kulipia madaktari na nurses wa kumsindikiza, watu wote wamepitia mfumo huo.

Sasa kama mtu anataka asipitie mfumo huo ina maana yupo tayari kujilipia, serikali haina kipingamizi katika hilo, ila haitohusika kulipia gharama. Kwa taarifa yako, kama angepelekwa Muhimbili wala asingepelekwa nje kwa sababu Dodoma walikuwa wameshafanya sehemu kubwa ya kutoa risasi tumboni na kwa kuwa alipoteza damu nyingi, walishamuwekea damu, condition yake ilishakuwa stable kwa hiyo muhimu ni kumfanyia monitoring tu, ndicho anachofanyiwa huko Nairobi.

Sababu kubwa ya Lisu kupelekwa Nairobi ni za kiusalama, hilo linaeleweka kwamba hakuna kuaminiana kati ya Chadema na serikali, sasa haiwezikani tena mtu usiyeaminiana naye usikilize ushauri wake, Chadema imekataa ushauri wa kumpeleka Muhimbili, na Serikali haiwezi kusikiliza Chadema vile wanavyotaka, hasa kwa sababu ni kinyume na taratibu za serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
With what references to call him best lawyer?


Sent using Jamii Forums mobile app
due to his impact in the parliament in giving out super alternatives to different sections of various acts in parliament refering to cybercrime act chief opposition critic from CCM Hon lusinde stressed out that no matter how he hated lisu and opposition but due to lisu's contribution towards that act he officialy declared him the best MP in tanzania

Reference 2 was during his time in "kamati ya kanuni" during constitutional assembly he was termed by the speaker and cc mps as an asset in Tanzania and thus he should be appointed AG of Tanzania/legal affairs minister

reference 3 was his landslide victory during the bar association election whereby his fellow lawyers gave him a majority to be thr leader hence showin that all most lawyers appreciate his efforts in Tanzania especially in the legal field

what else do i need to say so as to believ that lisu is indeed the best!!!
 
Those are personal achievements
When we talk about achievements there are also negative.
When you talk about best professionalism, how do we got ( best)
Best, comes from the society not group of people .

Example. The best politican from opposition side is Zito Kabwe.
The best comes from his society, a lot of changes, a lot of ammendments and we can see them.
I call some one best cook by the way he mentions recepies, ingredients ,only that. But he use to eat in hotels

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni wa Sisiemu au Chadema?
 
Mbona nyinyi mwafanya Harambee! Watanganyika huwa tunajaliana hata kwa kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tundu ana ushujaa gani? Tokea lini mtu akawa shujaa kwa kuropoka na kusumbua wanaume wengine? Angekuwa shujaa kama angefanya hata jambo moja la maana jimboni mwake.

Kama Tundu ni shujaa basi ndio maana Afrika ni masikini, kuropoka tu unakuwa shujaa. Kama asipofunga mdomo wake mchafu ajiandae kupotea kabisa, alichopata ni onyo tu.
 
Unaweza kutupa udhibitisho kwamba
Speaker Ndungai anavyoenda India hupewa vibali kwanza Muhimbili? Na huwa katika hali gani? Na hati za dharura zipo ama hazipo? Kumbuka Magogoni kuna mtu alizuia washiriki wa maafa ya tetemeko la Kagera wasipewe misaada iliyotolewa na watu na taasisi binafsi.

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kutupa kwamba s
Speaker Ndungai anavyoenda India hupewa vibali kwanza Muhimbili?

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
Bila shaka, muulize Zitto alivyopelekwa India kipindi kile cha Kikwete ambapo system zilikua loose sio kama sasa hivi zilivyo tight, na bado atakuambia kwamba alipitia mlolongo huo huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…