Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mungu saidia Lissu apone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika makoronkoncho
Moods ndio akina nani mkuu?mkuu mbona ueleweki,moods ondoeni huu uzi
Hawo ni wasomi wa CCM mkuuMoods ndio akina nani mkuu?
Si ajabu hata rambirambi za kifo chake nazo walikuwa washazipangia mradi wa kutekeleza.Wanaumiza vichwa, siku Lissu akirudi itakuaje!? Wanatamani wasikie habari mbaya. Lakini Mungu ni zaidi ya Sizonje na Bashite. Lissu atarejea nchini akiwa mzima.
Tuendelee kumuombea.