Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Offcourse with our identity left behind...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Offcourse with our identity left behind...
SamiaKumbe VP wenu ni a female..
anaitwa nani?
Kumbe VP wenu ni a female..
anaitwa nani?
Samia Suluhu HassanSamia
hata me nimejua leo, huko najua magufuli tu.Kumbe VP wenu ni a female..
anaitwa nani?
Aisee imekuwa jambo la ajabu kama mbao za mawe. 🙂Dah Siku hizi watu kukutana ni jambo la Ajabu hivi?
Hahaha Mbao za mawe zipo na naendelea kuuza ili kuokoa mazingira.Aisee imekuwa jambo la ajabu kama mbao za mawe. 🙂
Hapo safi mkuu.Hahaha Mbao za mawe zipo na naendelea kuuza ili kuokoa mazingira.
Wakati Uhuru anahangaika kukutana na Mbwa sisi tunakutana na mwenye Mbwa.😀😀😀😀
Weka paragraph, usiandike hovyohovyo!!Tanzania ya vituko,wakati marais wa nchi zingine wapo busy na kutafuta mikataba ya kibiashara,wawekezaji ili waje wawekeze kwetu ili ajira na maendeleo yaongezeke wa kwetu anakimbizana na Royal family na michoro ya kushukuru misaada,nchi inahitaji mikataba ya kibiashara sio misaada,please kuna anayeelewa hadi leo tumeshawishi wawekezaji wangapi na mikataba ya kibiashara mingapi?ukisoma takwimu za nchi zingine ninarukwa na akili,what went wrong ndani ya nchi yangu?kila kitu hovyo kuanzia Elimu,Huduma za kiafya(eg mortality rate ipo juu sana),mawasiliano hovyo kabisa,huduma za uokoaji zero(hatuna hata Jaws of Life) hivi ni haki kweli mwili wa binadamu mwenzetu usafirishwe ndani ya car aliyopata nayo ajali kisa hakuna vifaa vya kuondoa mwili,Trauma inayowakumba wafiwa na walioshughudia hii ajali ni kubwa mno,tatizo ni kwamba watawala hawa wao na familia zao ni rahisi kukimbilia India au SA kutibiwa ila wa sisi huku Lingusenguse ndio tufie pale Namabengo.Mungu anawaona na ninaota kuwa upepo siku unabadilika ndani ya nchi yangu watawala wetu wengi watakuwa wakimbizi,historia na wakati ni mahakimu wema wenye kutoa hukumu za haki.