Tanzania's Vice President with Prince William

Hiyo ni promo nzuri sana.
Bravo Tanzania
Bravo Vice President.
 
Tanzania ya vituko,wakati marais wa nchi zingine wapo busy na kutafuta mikataba ya kibiashara,wawekezaji ili waje wawekeze kwetu ili ajira na maendeleo yaongezeke wa kwetu anakimbizana na Royal family na michoro ya kushukuru misaada,nchi inahitaji mikataba ya kibiashara sio misaada,please kuna anayeelewa hadi leo tumeshawishi wawekezaji wangapi na mikataba ya kibiashara mingapi?ukisoma takwimu za nchi zingine ninarukwa na akili,what went wrong ndani ya nchi yangu?kila kitu hovyo kuanzia Elimu,Huduma za kiafya(eg mortality rate ipo juu sana),mawasiliano hovyo kabisa,huduma za uokoaji zero(hatuna hata Jaws of Life) hivi ni haki kweli mwili wa binadamu mwenzetu usafirishwe ndani ya car aliyopata nayo ajali kisa hakuna vifaa vya kuondoa mwili,Trauma inayowakumba wafiwa na walioshughudia hii ajali ni kubwa mno,tatizo ni kwamba watawala hawa wao na familia zao ni rahisi kukimbilia India au SA kutibiwa ila wa sisi huku Lingusenguse ndio tufie pale Namabengo.Mungu anawaona na ninaota kuwa upepo siku unabadilika ndani ya nchi yangu watawala wetu wengi watakuwa wakimbizi,historia na wakati ni mahakimu wema wenye kutoa hukumu za haki.
 
Alieturoga alituweza na kutukomesha kweli kweli
 
Wakati Uhuru anahangaika kukutana na Mbwa sisi tunakutana na mwenye Mbwa.😀😀😀😀

Rais Uhuru alikutana na Prince William pia. William alikutana na viongozi wote 53 kuwakaribisha palace kwa niaba ya malkia.
 
Tanzania ya vituko,wakati marais wa nchi zingine wapo busy na kutafuta mikataba ya kibiashara,wawekezaji ili waje wawekeze kwetu ili ajira na maendeleo yaongezeke wa kwetu anakimbizana na Royal family na michoro ya kushukuru misaada,nchi inahitaji mikataba ya kibiashara sio misaada,please kuna anayeelewa hadi leo tumeshawishi wawekezaji wangapi na mikataba ya kibiashara mingapi?ukisoma takwimu za nchi zingine ninarukwa na akili,what went wrong ndani ya nchi yangu?kila kitu hovyo kuanzia Elimu,Huduma za kiafya(eg mortality rate ipo juu sana),mawasiliano hovyo kabisa,huduma za uokoaji zero(hatuna hata Jaws of Life) hivi ni haki kweli mwili wa binadamu mwenzetu usafirishwe ndani ya car aliyopata nayo ajali kisa hakuna vifaa vya kuondoa mwili,Trauma inayowakumba wafiwa na walioshughudia hii ajali ni kubwa mno,tatizo ni kwamba watawala hawa wao na familia zao ni rahisi kukimbilia India au SA kutibiwa ila wa sisi huku Lingusenguse ndio tufie pale Namabengo.Mungu anawaona na ninaota kuwa upepo siku unabadilika ndani ya nchi yangu watawala wetu wengi watakuwa wakimbizi,historia na wakati ni mahakimu wema wenye kutoa hukumu za haki.
Weka paragraph, usiandike hovyohovyo!!
 
Back
Top Bottom