Tanzia: Abby Sykes (Baba mzazi wa Dully Sykes) afariki dunia

Tanzia: Abby Sykes (Baba mzazi wa Dully Sykes) afariki dunia

Mzee alikua peace sana. Yaani ukikaa naye kula gambe utacheka mpaka mbavu zivunjike kwa story zake
RIP
 
Niliwahi kusikia familia ya kina sykes ni miongoni mwa wapigania uhuru na pia watu maarufu sana mzizima a.k.a dar
 
Niliwahi kusikia familia ya kina sykes ni miongoni mwa wapigania uhuru na pia watu maarufu sana mzizima a.k.a dar

Sijui huwa ni ukoo au jina, kuna kitabu nilisoma kinaelezea mazito sana enzi wanasaka Uhuru. Kinadadavua mpaka jinsi J.K wa kwanza alivyo lead movements na sababu
 
rip mzee japo sijawahi kusikia wimbo wake wowote

Wimbo wa Mzee Ebby Sykes baharia

24727_100629463307333_4624324_n.jpg
:
10269504_588277124633624_1807736506080583065_n.jpg


images


images


  1. Ebby Sykes ft Dully Sykes -sema naye by MoonVisioner.blog Ebby Sykes ft Dully Sykes -sema naye by MoonVisioner.blog by moonvisioner - HulkShare
  2. ebby sykes Love lovee https://www.youtube.com/watch?v=u6WEwmToatw
  3. Meet Ebby Sykes https://www.youtube.com/watch?v=AaK7JTJ3hy0
  4. Kaulie by Ebby Sykes acoustic guitar - https://www.youtube.com/watch?v=dlymykwltYw
RIP Mzee Ebby Sykes, former Dance4Life ambassador: a legend in the Tanzanian Music Industry
 
Inna Lillahi Wa Inna Ilayhi Raji'un.Surely, We Belong To Allah And To Him Is Our Return.
RIP Mzee we2.We Love U Bt God Loves U More!
 
Hichi kifo cha mzee wetu mpendwa kitukumbushe kuwa hii dunia tunayoionea fahari si makazi yetu ya milele.

Hatuna budi kila mmoja wetu kwa imani yake kujiandaa na safari hii ngumu ambayo haakuna mtu anayeipenda wakati wowote na siku yoyote kwani hakuna ajuae ni lini atanyakuliwa kutoka hapa duniani.

Kwa wale wenzangu tunaoamini uwepo wa muumba na siku ya hukumu hatuna budi tujitathmini tutamtazama vipi muumba wetu kutokana na matendo machafu tuyatendayo hapa duniani?

Kama ungali unapumua wakati ndio huu wa kutubu dhambi zako na kuelekea katika ile njia iliyonyooka na impendezayo muumba.

Mungu amlaze anapostahili mzee wetu AMINI
 
Back
Top Bottom