Tanzia: Alex Ssempijja mmoja wa dancers wa Ghetto Kids hatunaye tena

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Alex Ssempijja mwenye miaka 14 kutoka Katwe amefariki siku ya Jana Jumatatu usiku baada ya ajali ya Baiskeli Mjini Kampala, Mwanamuziki Eddy Kenzo amethibitisha.

Kwa wale wasiomfahamu marehemu ni kwamba ni mmoja wa dancers wa kundi Ghetto Kids ambalo linaundwa na watoto wakali wa kutoa burudani.Wana video nyingi sana lakini nitashare nanyi moja iliyobamba sana.

Rest In Peace Alex



Ghetto kids pay last respects to Alex Ssempijja

Source: bigeye




 

Attachments

  • Syta ross.png
    49.9 KB · Views: 2,246
Last edited by a moderator:
iyo baiskeli imemfanyaje huyo marehemu?imemgonga wakati akivuka,ameanguka nayo wakati akiendesha au amegongwa wakati akiwa kweny baiskeli?
 
iyo baiskeli imemfanyaje huyo marehemu?imemgonga wakati akivuka,ameanguka nayo wakati akiendesha au amegongwa wakati akiwa kweny baiskeli?

Ilikatika break ikaingia kwenye mtaro akajigonga kichwa kwenye jiwe alikua yupo na haki kabint dancer mwenzie ambaye naye yupo ICU
 
Ghetto kids nkiangalia video zao naona mafanikio yao bdae kimaisha.....rip alex
 

Source: bigeye
 

Attachments

  • alex-sempijja-14.png
    119.7 KB · Views: 1,835
  • alex-sempijja-15.png
    161.8 KB · Views: 1,899
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…