Tanzia: Baba yake mzazi na Belle 9 afariki dunia kwa kugongwa na bodaboda

lala kwa amani baba bella9. na pole sana bella 9 kwa msiba mzito
 
Dawa muhimu kukosekana ICU ni uzembe wa hali ya juu
 
pole sana my blood bele9 mida nitafika eneo la tukio...
 
Halafu 2020 utamkuta jukwaa la ccm anatumbuiza kuipigia kampeni ccm wakati baba yake amepoteza uhai kwa uzembe wa ccm kutojali kuweka dawa za kutosha mahospitalini.
Mimi nafikiri wa bodaboda ndio aliesababisha kifo na sio ukosefu wa dawa...Kama aliumia vibaya na damu ikavuja sana bado angekufa tu hata kama angepelekwa Apollo India....

Mhimu kila binadamu ajali maisha ya kwake na mwenzie popote pale.....

R.I.P mzee wetu.!
 
Tatizo la dawa na mambo ya pf3 yamepoteza wengi sana ambao wangepata msaada wa haraka wangepona inashangazaga mtu ameumia anakaribia kukata roho wanakataa kumtibia kisa pf3
 
Waendesha bodaboda wengi wao wanaendeshwa na akili za bange.
Hapana sio Bangi mkuu. Ni pombe kali ndio zinawafanya wawe hivyo(viroba vya kimya kimya ) RIP MZEE.
 
Waendesha bodaboda wengi wao wanaendeshwa na akili za bange.
Hapana sio Bangi mkuu. Ni pombe kali ndio zinawafanya wawe hivyo(viroba vya kimya kimya ) RIP MZEE.
 
msanii wa bongo flavour naemuelewa zaidi nchi hii.pole belle 9.ila bodaboda bana,yani unakuta mtu anakupita kwa speed kali unjiuliza huyu bwana anafukuzwa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…