miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
lala kwa amani baba bella9. na pole sana bella 9 kwa msiba mzito
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nafikiri wa bodaboda ndio aliesababisha kifo na sio ukosefu wa dawa...Kama aliumia vibaya na damu ikavuja sana bado angekufa tu hata kama angepelekwa Apollo India....Halafu 2020 utamkuta jukwaa la ccm anatumbuiza kuipigia kampeni ccm wakati baba yake amepoteza uhai kwa uzembe wa ccm kutojali kuweka dawa za kutosha mahospitalini.
Hapana sio Bangi mkuu. Ni pombe kali ndio zinawafanya wawe hivyo(viroba vya kimya kimya ) RIP MZEE.Waendesha bodaboda wengi wao wanaendeshwa na akili za bange.
Hapana sio Bangi mkuu. Ni pombe kali ndio zinawafanya wawe hivyo(viroba vya kimya kimya ) RIP MZEE.Waendesha bodaboda wengi wao wanaendeshwa na akili za bange.