Tanzia: Baba yake mzazi na Belle 9 afariki dunia kwa kugongwa na bodaboda

Tanzia: Baba yake mzazi na Belle 9 afariki dunia kwa kugongwa na bodaboda

Imeniuma sana aisee daaah...pole sana Belle 9.....Mungu amlaze mahali Pema mzee wetu
 
Mbwembwe nyingi lakini umeeleweka. Mungu awape faraja wafiwa
 
R.I.P baba Belle, na poleni kina Belle, huyo boda boda cjui ndo wale wanaomalizia stock ya viroba au vipi? Pole yake pia, Mungu ampe afya
 
Halafu 2020 utamkuta jukwaa la ccm anatumbuiza kuipigia kampeni ccm wakati baba yake amepoteza uhai kwa uzembe wa ccm kutojali kuweka dawa za kutosha mahospitalini.
Uwongo! Mtupu punguza chuki hiyo acid iliyo mwilini mwako ni hatari kubwa!
 
Inasikitisha sana sana walahi! RIP baba!
 
Uwongo! Mtupu punguza chuki hiyo acid iliyo mwilini mwako ni hatari kubwa!
Muongo mimi au muongo aliyekosa dawa hospitali hadi akaenda kutafuta dawa mitaani?

Punguza ujinga kichwa kimejaa fungus tupu na minyoo.
 
IMG_0385.JPG
Muongo mimi au muongo aliyekosa dawa hospitali hadi akaenda kutafuta dawa mitaani?

Punguza ujinga kichwa kimejaa fungus tupu na minyoo.
Wewe ndiyo mpumbavu wa head, uliye jaa uzezeta! Hivi unafikiri kwa nini wagonjwa hupelekwa nje ya nchi kutibiwa? Umejaa mavi mwili mzima alafu unasema damu! Ukafie milele na usiibuke tena wewe na kizazi chako! Matola you piece of S***t!
 
View attachment 498105

Hivi wewe ni binadamu au maiti hii inacomment hapa?

Unauelewa wowote wa rufaa? Yani dawa ikosekane hospitali ipatikane phamacy ya mtaani then unataka kufanya na comparison ya mgonjwa kupewa rufaa ya kupelekwa kwenhe hospitali zenye facility za kisasa zaidi?

Wewe hakika ni maiti ungali hai.
 
sio boda boda bali serikali kwa kukosekana dawa hospitalini
 
Back
Top Bottom