TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

sifi leo, Ramadhan alikuwa mkuu wa mhimili wa mahakama....... Ambaye anaweza kumkaimu mkuu wa nchi...... TISS ni kitengo cha mhimili wa serikali..... Huwezi linganisha na mahakama... Huwezi linganisha na spika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninavyojua intelligence, ni pamoja na camouflage, cover, flexibility,undetected, pamoja na double identity.
Hao wa mahiga ni double identity bro
 
Labda zamani siku hizi tunashindanae kwenye Pub kama kawa na tunawajua

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao no low level agents.
Kuna wale wenyewe ambao wanafanya kazi internationaly.
Anyway back to the topic ni kuwa kikazi sheria ndio hiko hivyo.
Huko pub unapokutana nao sio sehem ya kazi.
Just because umemuona pub jamaanish na kwenye msiba akajianike kama pub. No

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usalama wanaonekana ila huwezi kuwatambua kuwa ni usalama maana hawana vibandiko usoni.

Mtu yoyote anaweza kuwa usalama katika mazingira yako ila kumtambua ni bidii yako.
Kwa nilie kuwa namjib anashani kuwa hawa qatu qana uniform . Kwamba wamzike mwenzao kama wanajeshi. Lakin taratib za kazi yao haziend hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwenye janga kama hili jukumu lao kubwa ni kuzika tu basi!
 
Augustine Philip Mahiga upate raha ya Milele upumzike kwa Amani.
 
Pamoja na corona tusisahau kuwa wasiojulikana bado hawajajulikana, na bado wapo kazini, na kuna uwezekano mkubwa tu wakatumia hili janga la corona kama kichaka cha kujifichia, tuwe makini sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja ya maana. utapata jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…