Ila huyu mama hakuwa mtu mzuri kabisa kwa ustawi wa demokrasia. Nasema tena hakuwa mtu mzuri, mimi namsema kwa mabaya yake maana mema yake siyajui. Alikuwa mtu hatari sana kutokana na kauli zake ambazo zingeweza kulivuruga na kuliharibu kabisa taifa hili kwa kulinda maslahi yake na familia yake. Kwakweli na aende tu maana sidhani kama ana msaada kwa wananchi labda kwa CCM wenzake. Apumzike anapostahili kwakweli. Narudia tena hakuwa mtu mwema kwa watanzania. Hata kama ni ulevi wa madaraka si kwa kiwango kile...Mwenyezi Mungu amhukumu kwa haki.