Yaani sinema ya Bunge Maalumu la Katiba Tanzania litabaki kwenye historia kwa kipindi kirefu sana na I am sure vizazi vijavyo vitasikitika sana kama vitashuhudia clips kama za Bi Asha Makame na Bw Sita
Halafu umeona jamaa walikuwa wanamshangilia kabisa. Yaani kama Bungeni la kawaida nako kunakuwaga vile, matusi nje nje, Hatuna wawakilishi.
Kwani na yeye alikuwa Kafir si alikuwa mwislam au kafir ina maana tofauti? Naomba kuelimishwa bandugu mimi ni mbara.Alisema labda waipindue vinginevyo hawatoi nchi kwa makaratasi !sasa kapinduka yeye! Mungu mkubwa makaafir watangulie wasituharibie nchi.
Yeye, waziri wa katiba toka Moro, Mzee wa kwenda msituni wametangulia. Tujifunze kuwa maisha ni pale unapopumua siyo utakuwa nani kesho. Mla mla leo mla jana kalani?Apelekwe anapostahili
Du! Binamu nawe ushakuwa Mafia??Huyu sawa tu...Ingawa wote tutakufa...ila wakitangulia maharamia kama hawa inakuwa ahueni huku duniani
kuwa na UTU japo kwa sekunde moja. siasa isikufanye ukawa na chuki kiasi hicho. unafurahia kifo cha binaadam mwenzio?Alikuwa ni mzigo kwa taifa bora amekufa
Kafir ni mtu yeyote ambaye hafuati misingi ya Uislam ya UpendoKwani na yeye alikuwa Kafir si alikuwa mwislam au kafir ina maana tofauti? Naomba kuelimishwa bandugu mimi ni mbara.
Unasahau hawa hawa ndio chanzo cha mauji Pemba. Kesho kutwa uchaguzi wa kurudia watawatoa kafara wengi. Mungu tuepushe.kuwa na UTU japo kwa sekunde moja. siasa isikufanye ukawa na chuki kiasi hicho. unafurahia kifo cha binaadam mwenzio?
Waziri kapata jibu toka ahera kuwa hata bara waliopata uhuru kwa karatasi ni binadamu wenye hesma kama wale walomwaga damu. Yaonekana walopata kwa makaratasi tu wanaishi kwa raha zao na wameweza kuwastiri wale walokimbia damu toka Zenj wamejaa pale Namanga Msasani na wana raha tu. Je wale walowakaribishwa kuhifadhiwa si wanadai haki ya nchi nzima? Nani mbara anaweza kudai kipande cha ardhi ya visiwani??? Nisamehe kama nimesema vibaya lakini nimekuwa zanzibar miaka ya 90 niliitwa sana kizota sababu ya kutovaa kitambaa kichwani najua machungu ya ubaguzi huko visiwani.Alisisitiza kuwa CCM haiwezi kuitoa Zanzibar kwa makaratasi labda mpaka zipigwe kavu kavu.
Sijaona tofauti ya kauli ya mama Asha na ile iliyofanya gazeti la Mawio lifungiwe.Kauli ya mama Asha na ya gazeti la Mawio zote zinaonyesha tunaelekea kubaya.
Apumzike kwa amani.
Mtu asiyetambua utu na haki ya mty kupiga kura ni kafir tu acha afe.Kwani na yeye alikuwa Kafir si alikuwa mwislam au kafir ina maana tofauti? Naomba kuelimishwa bandugu mimi ni mbara.
Waziri kapata jibu toka ahera kuwa hata bara waliopata uhuru kwa karatasi ni binadamu wenye hesma kama wale walomwaga damu. Yaonekana walopata kwa makaratasi tu wanaishi kwa raha zao na wameweza kuwastiri wale walokimbia damu toka Zenj wamejaa pale Namanga Msasani na wana raha tu. Je wale walowakaribishwa kuhifadhiwa si wanadai haki ya nchi nzima? Nani mbara anaweza kudai kipande cha ardhi ya visiwani??? Nisamehe kama nimesema vibaya lakini nimekuwa zanzibar miaka ya 90 niliitwa sana kizota sababu ya kutovaa kitambaa kichwani najua machungu ya ubaguzi huko visiwani.
Sio tu kauli ya Bi Asha Bakari (PKA) wala ya MAWIO, bali ni ukweli ambao Jecha na Shein (kwa kuungwa mkono na Mwenyekiti wa CCM, JMK, pamoja na Rais wa JMT, JPM) wamenajisi demokrasia. Wananchi wa Zanzibar walijitokeza kwa wingi na kupiga kura (makaratasi hayo) kwa amani, na kurejea majumbani wakiwa na matumaini kuwa haki yao ya kuweka alama kwenye makaratasi itaheshimiwa. Kilichotokea dunia nzima imekiona! Bi Asha alikuwa anapaza sauti ya CCM na Mawio waliandika hiyo sauti. Sijui madai ya uchochezi wa Mawio unatoka wapai? Kwani ni nani Rais wa Zanzibar aliyechaguliwa? Kwa nini Shein anafurahia sana kurudia uchaguzi? Siasa za kijima za bongo ukiziweka sana maanani, unaweza kuwa kichaa!Alisisitiza kuwa CCM haiwezi kuitoa Zanzibar kwa makaratasi labda mpaka zipigwe kavu kavu.
Sijaona tofauti ya kauli ya mama Asha na ile iliyofanya gazeti la Mawio lifungiwe.Kauli ya mama Asha na ya gazeti la Mawio zote zinaonyesha tunaelekea kubaya.
Apumzike kwa amani.
Kabisa mkuuBado utasikia pengo la marehemu ni vigumu kuzibika. Kama vile aliyokuwa anatamka na kufanya yalikuwa mema. Tufike mahali tuwe wakweli, kama jambazi kafa tunasema kifo cha marehemu ni faraja kwa raia wema! Sio unafiki msibani
Ila huyu mama hakuwa mtu mzuri kabisa kwa ustawi wa demokrasia. Nasema tena hakuwa mtu mzuri, mimi namsema kwa mabaya yake maana mema yake siyajui. Alikuwa mtu hatari sana kutokana na kauli zake ambazo zingeweza kulivuruga na kuliharibu kabisa taifa hili kwa kulinda maslahi yake na familia yake. Kwakweli na aende tu maana sidhani kama ana msaada kwa wananchi labda kwa CCM wenzake. Apumzike anapostahili kwakweli. Narudia tena hakuwa mtu mwema kwa watanzania. Hata kama ni ulevi wa madaraka si kwa kiwango kile...Mwenyezi Mungu amhukumu kwa haki.