Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
sasa huyu wakimkafini itakuwaje maana kunduchi lote liko wazi..Jamani kifo hiki, juzi tu nilikua nachat nae jamani alikuwa anataka kuja South Africa. Uwii Warumi sina nguvu nimeishiwa.
View attachment 770348
Rest In Peace best wangu!