Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiachana na mkao,mi nmeona ana handbag ya kike na hicho kishati pia nna mashaka nachommh
mbona mikao yake siielewielewi
R.I.P
Hahahahahahaha uwiiiiiii eti akaombewaaAnachaaje yule alishakubuhu, wanajikosha tu labda wangesema Alikosa soko
Binam akikukuta hapa usikimbilie pmJaman c nilisikia matola kafa, watu wabaya kwa uzushi
Umeolewa na naniiNimeolewa binamu unikome, naliwa kihalali
Si kafiwa na shoga ake [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Fica mikopo unaenda kopa fincaFinca ndo nn binamu, mbavu zangu uwiii
Alikuwaga anatufurumusha huyooo warumia anakuja pm anapanga mbinu mpyaa wapi anaishia kutukana analimwa ban[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nusu yanguNichangieni wa mbea wenzangu , kufa kufaana au ndo kupendana kwenye umbea tu shida tutajibeba wenyewe
HahahahaAhsante binamu , nichangien jaman nimeumia kweli warumi Mimi
WARUMI mbona unatetea sana mashoga?
Bila shaka na wewe ni walewale
Warumi anaomba mchangoHahaha
Tusigombane na binamu ana misiba kaka
Aunt?? TenaAunt Billali amefariki? apumzike anapostahili.
Kwa hiyo umekuja na madanga,Mimi kungwi nimekubuhu, mdangaji maarufu
Muimba taarabu Bilal Mashauzi ameaga dunia jioni hii. Msiniulize chanzo hata mimi sijui.Pumziko jema Bilal.
Moja ya kazi za Marehemu Bilal enzi za uhai wake