Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
sasa huyu wakimkafini itakuwaje maana kunduchi lote liko wazi..Jamani kifo hiki, juzi tu nilikua nachat nae jamani alikuwa anataka kuja South Africa. Uwii Warumi sina nguvu nimeishiwa.
View attachment 770348
Rest In Peace best wangu!
Alikuwa mtu wako wa karibu?Muimba taarabu na mkaka jamii ya akina James Delicious ameaga dunia jioni hii. Msiniulize chanzo hata mimi sijui.
Pumziko jema BilalView attachment 770331
Mmmmh! Nna was was na maelezo yakoHapana nilikua na mie namuona tu mjini
Binamu poleJamani kifo hiki, juzi tu nilikua nachat nae jamani alikuwa anataka kuja South Africa. Uwii Warumi sina nguvu nimeishiwa.
View attachment 770348
Rest In Peace best wangu!
Usjali nakuaminia ex baeMi urafiki wa karibu na mashoga hapana. Sio mwanangu anakua anakutana na marafiki wa mama hawaeleweki jinsia
Binamu pole
Mungu atunusuru na vizazi vyetu
Hivi alikuwa anaumwa mbona ghafla hiviMuimba taarabu shoga ake Wema Sinta na Junaithar.
Alikuwa mtu wako wa karibu?
Hapana nilikua na mie namuona tu mjini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmmh! Nna was was na maelezo yako
[emoji2]
Kweli kabisa kuna watu sio wa kuwa nao karibu kabisaMi urafiki wa karibu na mashoga hapana. Sio mwanangu anakua anakutana na marafiki wa mama hawaeleweki jinsia
Jamani kifo hiki, juzi tu nilikua nachat nae jamani alikuwa anataka kuja South Africa. Uwii Warumi sina nguvu nimeishiwa.
View attachment 770348
Rest In Peace best wangu!