TANZIA: Bilali Mashauzi afariki dunia

TANZIA: Bilali Mashauzi afariki dunia

Wewe unachoongelea na kutetea ni kipi hasa kama sio ubwabwa unakukereketa kuutetea? Are you bwabwa?

Habar za umri wa Elton John na kupunguza miaka 20 ya life span yako kipi kimekukanganya hapo? Unaijua life span aloandaliwa huyu bwana? Mxiewwww nikiona Kenge kama wewe unatetea ushoga nataman udumbukizwe kwenye kisima cha sementi ya moto kiwandani.[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]

Ebu pishaga uko mnajifanya mnachukia mkipewa makalio wakwanza kutoa majasho, unafiki sitaki hapa n
 
Tulichambwaaaaa zamani humu mbona ilikuwa tifu kila siku,tukiwazidi tunaenda chambwa kwa sinta,zamani humu ilikuwa hivi tunakuwa na timu ukichamba mmoja unalo utachambwa watu tulikuwa tunalambwa ban kila siku ,warumi ndio usiseme
We sijui ulikuwgaa wapi

Binamu usinikumbushe , tuna experience ya kutosha ya kuchambwa na kuchamba, nakumbuka kuna kipindi ulipewa michambo mpaka ukaji quote mwenyewe yan huwa nacheka binamu khaa, akina Matola na matumbo wametuhenyesha Ila walichokaga wenyewe maana umbea hatuachi wakaamua watuache aaah
 
Binamu usinikumbushe , tuna experience ya kutosha ya kuchambwa na kuchamba, nakumbuka kuna kipindi ulipewa michambo mpaka ukaji quote mwenyewe yan huwa nacheka binamu khaa, akina Matola na matumbo wametuhenyesha Ila walichokaga wenyewe maana umbea hatuachi wakaamua watuache aaah
Halaf tupo vitani ukaanza kuninicheka uliniudhiiiiiiiii ,unakuja pm unanicheka tena unasahau huku mashambulizi yanazidii walichokaa wenyewe mwisho wakaungana na sisi tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilishindwa, nawasialiana naye niende this week, nina safari fulani inanitoa nje ya mji, najitahidi nimwone kabla sijaondoka, ila ananiambia hali bado haiko vizuri.
Ni kilizi mno nae anadeka utafikiri sio mwanaume ananiudhiiiiiii ananililiaga saa nyingine simjibu ajikaze bana ,huduma ashapata na uzembe alifanya mwenyewe
 
Back
Top Bottom