TANZIA: Bilali Mashauzi afariki dunia

Nani alikuambia matola kafa binam[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Binamu inbox yangu imejaa ubuyu mpaka sijui nianze kusoma umbea wa nani, kuna mmbea aliniambia inbox kuwa matola kafa, nikamjibu Amen , maana alikua ananikausha uzazi. Sasa akifa Mimi nifanyaje , mie mkewe kusema nitarithi Mali , kama anazo lakin mali zenyew
 
si ndio maana nimemkumbuka,naona mnachangamshana na binamu yako matola wahenga katika ubora wenu
Matola"pumbavu nyinyi mmekalia umbea tu rudini shule alitupiga mkwara jamani tukawa tuanaitana pm tusaidiane kumtukana matola wapii anatupangua woteeew basi tukaona isiwe shida tuakajipendekza akawa rafiki yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na matumbo unamkumbuka sijui kafia wapii alikuwa akimuona warumi tu kosa jamani
 
Hahaahhahahaahahhahaahahahhaah jamanii Matola yupo haii anadunda kabisa unakumbuka enzi zake na lara mapenzi moto moto sijui yalikufaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kuna vijana walikuwa wanamtifua matola yani walimpania alikuwa anapambana nao hadi huruma sijui aliwakosea nini yani hii jf unaweza ukawa unapambana na mzee wako walah
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usiombe sasa ikifika zamu yako kuchambwa mtu anatoa info za uongoo dah jf ilikuwa zamani bana hatari sana
Ahahahhahahahahahaah ilikuwa balaa mrembo by nature akikukuta unamsema vibaya wema utakoma warumi alikuwa anaipata
Mada inaanza vizuri ikifika katikati mada inabadilika ahahah
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kuna vijana walikuwa wanamtifua matola yani walimpania alikuwa anapambana nao hadi huruma sijui aliwakosea nini yani hii jf unaweza ukawa unapambana na mzee wako walah
Lakin walikosea sio matola na matola hana mtoto anaeitwa Samira
Walikosea watuulize wambea hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka mpaka chozi nyie huwezi amini matola nae alikuwa na wababe wake walileta mpaka screenshot ya no yake,yani walimnyanyasa alafu ilikuwa ukijifanya kumsaidia wanakumix na wewe sijui ilikuwa ni nyie ila hapana wale walijipanga haswa alafu walikua vijana nahisi wasio na kazi
 
Shogaaa walikosea hakuna ukwelii nakuambia sasa matola aliwachoka maana aliona anajibizana na hewaa tulikuwaga tunamsaidia saidia huku tunaogopa kina ritz na khataan walikuwa wanatukana haooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…