Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Toka zamani warumi hataki na hataki mbona sisi hatuna shida kabosa wanaume na umalaya tu wa kuulizia jinsia ili wamfate pmSisi hatutaki jinsia yake sie umbea tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka zamani warumi hataki na hataki mbona sisi hatuna shida kabosa wanaume na umalaya tu wa kuulizia jinsia ili wamfate pmSisi hatutaki jinsia yake sie umbea tu
Hata simjuiJenifa
si ndio maana nimemkumbuka,naona mnachangamshana na binamu yako matola wahenga katika ubora wenuKwa nini binamu? Halafu Mimi na huyo lara zilikua haziivi, lol
Kisa nini binamu tukumbusheeKwa nini binamu? Halafu Mimi na huyo lara zilikua haziivi, lol
Nani alikuambia matola kafa binam[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kavaa na kanzu na lips shineNdio huyu nini nilioa wanampromote kawapikia msosi kwenye sherehe ya mtoto wa HamisaView attachment 771126
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usiombe sasa ikifika zamu yako kuchambwa mtu anatoa info za uongoo dah jf ilikuwa zamani bana hatari sanaNakumbuka tulikuwa hadi tunakeshaa hakuna kulala yaan tulikuwa kama vichaaa
Matola"pumbavu nyinyi mmekalia umbea tu rudini shule alitupiga mkwara jamani tukawa tuanaitana pm tusaidiane kumtukana matola wapii anatupangua woteeew basi tukaona isiwe shida tuakajipendekza akawa rafiki yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na matumbo unamkumbuka sijui kafia wapii alikuwa akimuona warumi tu kosa jamanisi ndio maana nimemkumbuka,naona mnachangamshana na binamu yako matola wahenga katika ubora wenu
Hahaahhahahaahahhahaahahahhaah jamanii Matola yupo haii anadunda kabisa unakumbuka enzi zake na lara mapenzi moto moto sijui yalikufaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Binamu inbox yangu imejaa ubuyu mpaka sijui nianze kusoma umbea wa nani, kuna mmbea aliniambia inbox kuwa matola kafa, nikamjibu Amen , maana alikua ananikausha uzazi. Sasa akifa Mimi nifanyaje , mie mkewe kusema nitarithi Mali , kama anazo lakin mali zenyew
Kumbe hajawah olewaJunaithar?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kuna vijana walikuwa wanamtifua matola yani walimpania alikuwa anapambana nao hadi huruma sijui aliwakosea nini yani hii jf unaweza ukawa unapambana na mzee wako walahBinamu inbox yangu imejaa ubuyu mpaka sijui nianze kusoma umbea wa nani, kuna mmbea aliniambia inbox kuwa matola kafa, nikamjibu Amen , maana alikua ananikausha uzazi. Sasa akifa Mimi nifanyaje , mie mkewe kusema nitarithi Mali , kama anazo lakin mali zenyew
Ahahahhahahahahahaah ilikuwa balaa mrembo by nature akikukuta unamsema vibaya wema utakoma warumi alikuwa anaipata[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usiombe sasa ikifika zamu yako kuchambwa mtu anatoa info za uongoo dah jf ilikuwa zamani bana hatari sana
Lakin walikosea sio matola na matola hana mtoto anaeitwa Samira[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kuna vijana walikuwa wanamtifua matola yani walimpania alikuwa anapambana nao hadi huruma sijui aliwakosea nini yani hii jf unaweza ukawa unapambana na mzee wako walah
Kisa nini binamu tukumbushee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka mpaka chozi nyie huwezi amini matola nae alikuwa na wababe wake walileta mpaka screenshot ya no yake,yani walimnyanyasa alafu ilikuwa ukijifanya kumsaidia wanakumix na wewe sijui ilikuwa ni nyie ila hapana wale walijipanga haswa alafu walikua vijana nahisi wasio na kaziMatola"pumbavu nyinyi mmekalia umbea tu rudini shule alitupiga mkwara jamani tukawa tuanaitana pm tusaidiane kumtukana matola wapii anatupangua woteeew basi tukaona isiwe shida tuakajipendekza akawa rafiki yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na matumbo unamkumbuka sijui kafia wapii alikuwa akimuona warumi tu kosa jamani
Unajipaisha eti alikuwa anakukubali nadhani ye alikuwa team mange na wema,sisi wapinzaniHatujawahi hata kugombana bhasi tu tulikua hatuivi japokua alikua ananikubali
Shogaaa walikosea hakuna ukwelii nakuambia sasa matola aliwachoka maana aliona anajibizana na hewaa tulikuwaga tunamsaidia saidia huku tunaogopa kina ritz na khataan walikuwa wanatukana haooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka mpaka chozi nyie huwezi amini matola nae alikuwa na wababe wake walileta mpaka screenshot ya no yake,yani walimnyanyasa alafu ilikuwa ukijifanya kumsaidia wanakumix na wewe sijui ilikuwa ni nyie ila hapana wale walijipanga haswa alafu walikua vijana nahisi wasio na kazi
tehe tehe tehe umeona mengi hongeraUkiachana na mkao,mi nmeona ana handbag ya kike na hicho kishati pia nna mashaka nacho