TANZIA: Bilali Mashauzi afariki dunia

TANZIA: Bilali Mashauzi afariki dunia

Lakin walikosea sio matola na matola hana mtoto anaeitwa Samira
Walikosea watuulize wambea hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ndio hapoo yani info za uongo watu wanashabikia ili udharirike [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] aah hii ilikuwa sehemu ya kutoa stresss
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usiombe sasa ikifika zamu yako kuchambwa mtu anatoa info za uongoo dah jf ilikuwa zamani bana hatari sana

Mi ndo nilikua nakula ban kila siku, nafungua fekero nashindwa kujizuia kujificha nilivyo mbea najifanyia umbea hadi Mimi mwenyewe, najitaja kabisa Mimi warumi naanza kuchambwa wanani ban tena, yan ilikua balaaa uwiii
 
Ahahahhahahahahahaah ilikuwa balaa mrembo by nature akikukuta unamsema vibaya wema utakoma warumi alikuwa anaipata
Mada inaanza vizuri ikifika katikati mada inabadilika ahahah
hahahah kipindi hicho nilikuwa simpendi wemaa yani mrembo by nature ilikuwa tunapambana mpaka uturn
 
ndio hapoo yani info za uongo watu wanashabikia ili udharirike [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] aah hii ilikuwa sehemu ya kutoa stresss
Hahahahahaha kulikuwa na ushabiki na haya mambo yanaendelea sana tu sema siku hizi sio kama zamani watu walishabikia mnoo
 
Mi ndo nilikua nakula ban kila siku, nafungua fekero nashindwa kujizuia kujificha nilivyo mbea najifanyia umbea hadi Mimi mwenyewe, najitaja kabisa Mimi warumi naanza kuchambwa wanani ban tena, yan ilikua balaaa uwiii
Ulikuwaga unanifata pm binam mimi warumi nimeshindwa kuvumilia aisee jf unaipendaa kujizuia kutukana huwezii unafungiwa tenaaa naikumbuka gossipwarumi
 
Mi ndo nilikua nakula ban kila siku, nafungua fekero nashindwa kujizuia kujificha nilivyo mbea najifanyia umbea hadi Mimi mwenyewe, najitaja kabisa Mimi warumi naanza kuchambwa wanani ban tena, yan ilikua balaaa uwiii
hahah binamu wewe hata uandikaje tulikuwa tunakujua tu yani hufichiki na kuna team yako ya kukushambulia ulikuwa unajitahidi lakini
 
hahahah kipindi hicho nilikuwa simpendi wemaa yani mrembo by nature ilikuwa tunapambana mpaka uturn
Enzi hizo Uturn imepamba moto mangd anachamba watu mpaka wanazimiaa
Mrembo by nature siku hzi yupo busy anajiita bint magufuli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uturn ilikuwa na raha yake,mange akianza kutukanana na sinta lo
 
Matola"pumbavu nyinyi mmekalia umbea tu rudini shule alitupiga mkwara jamani tukawa tuanaitana pm tusaidiane kumtukana matola wapii anatupangua woteeew basi tukaona isiwe shida tuakajipendekza akawa rafiki yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na matumbo unamkumbuka sijui kafia wapii alikuwa akimuona warumi tu kosa jamani

Mmmh matola alikua kiboko, sisi tulikua tuna midomo tunaongea kama chiriku, matola akija dakika mbili anatukausha uzazi Mimi na binamu, mpka tunakimbilia inbox kujipanga jinsi ya kumchamba, Ila lusungo alikua anatusaidia walikua wanawezana paka na panya, cjui Lusungo yuko wapi, alikua ananipenda mno binamu yangu
 
hahah binamu wewe hata uandikaje tulikuwa tunakujua tu yani hufichiki na kuna team yako ya kukushambulia ulikuwa unajitahidi lakini
Haahahahahah walikuwa wanamsakama halaf siku moja akatuchamba sileti ubuyu hamnisaidii nikichambwaa nakumbuka tukaanza kuwa tunamsaiidia na kina evelyn salt hahahaha
 
Enzi hizo Uturn imepamba moto mangd anachamba watu mpaka wanazimiaa
Mrembo by nature siku hzi yupo busy anajiita bint magufuli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uturn ilikuwa na raha yake,mange akianza kutukanana na sinta lo
binti magufuli yupo humu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
aisee nimefurahi kama nimeingiza madolare leo jf idumu tu jamani
evelyn salt yukwapi nae?
 
Haahahahahah walikuwa wanamsakama halaf siku moja akatuchamba sileti ubuyu hamnisaidii nikichambwaa nakumbuka tukaanza kuwa tunamsaiidia na kina evelyn salt hahahaha
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] daah raha sana,ubuyu wa warumi nilikuwa nauamini 100% yani siushuku wala warumi na jukwaa lake pendwa
 
Mmmh matola alikua kiboko, sisi tulikua tuna midomo tunaongea kama chiriku, matola akija dakika mbili anatukausha uzazi Mimi na binamu, mpka tunakimbilia inbox kujipanga jinsi ya kumchamba, Ila lusungo alikua anatusaidia walikua wanawezana paka na panya, cjui Lusungo yuko wapi, alikua ananipenda mno binamu yangu
Ahahahahahahah lusungo yupo anapoteaga anakuwepo hivyo hivyo alitusaidia kwelii kipindi hicho
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] daah raha sana,ubuyu wa warumi nilikuwa nauamini 100% yani siushuku wala warumi na jukwaa lake pendwa
Warumi akipigwa ban muda mrefu tunaenda kwa mods kule jukwaa la malalamiko afunguliwee anafunguliwa akifunguliwa kidogo tu anatukana ban tena
 
Back
Top Bottom