brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,287
hahahahaha mbavu zangu akirudi tu wanamtikisa kidogo huyo kashadakwa tenaWarumi akipigwa ban muda mrefu tunaenda kwa mods kule jukwaa la malalamiko afunguliwee anafunguliwa akifunguliwa kidogo tu anatukana ban tena