TANZIA: Dalila wa tamthilia ya Jumba la Dhahabu amefariki dunia

TANZIA: Dalila wa tamthilia ya Jumba la Dhahabu amefariki dunia

Ndani ya wiki hii lazima magazeti ya shigongo yataandika "VIFO VYA WASANII MFULULIZO, MTAALAM WA NYOTA AONGEA NA RISASI AELEZEA MAMBO MAKUBWA, MSANII MWINGINE MAARUFU KUFARIKI KABLA YA MWISHO WA MWAKA HUU ENDAPO..."
 
Imeandikwa kuwa "tumetoka mavumbini na mavumbini tutarudi,lkn haikuandikwa kuwa tutarudi"
Haikuandikwa kuwa tutarudi ktk umri gani!
So,ni lazma andko litimie
Kweli wewe unasoma vitabuni vya dini au umeandika tuu?
 
Kulikoni JEBBY muimbaji wa ngoma ya swahili kafa, MASOGANGE kwisha huyu naye hatunaye wasanii mkatambie mapema mtakwisha..!

Punguzeni uzinzi pia, wakina chuzi na kojak watawamaliza na ngoma..!
 
Back
Top Bottom