jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Mpeleke nyumban tafadhar sana kakani jirani yangu ubungo makuburi.. na feel sory kwake sana na wanae
nilipo naangalia mpira na mwanae wa kwanza. hata hajui kama mama yake kafariki na imebidi nisimwambie tu
Sana aseeeDah na walivyokua wanapendana
Hadi huruma kumbe ndio kisa cha yeye kurudi south kabla mechi hazijaishaSana aseee
Eeh ,bro Kibs wakiwa na mkewe pale London pub au escape one,utadhani ndio wanaanza uchumba ,binafsi bro Kibs alikua MC ktk harusi yangu,na mkewe Sarah alinitengenezea Keki na vyote walifanya kishikaji tu km rafiki yao ,nasikitika niko mbali ila msiba umeniuma sana huuHadi huruma kumbe ndio kisa cha yeye kurudi south kabla mechi hazijaisha
Mtangazaji maarufu Ephraim Kibonde amefiwa na mkewe usiku huu katika hospitali ya Hindu Mandal. Bwana ametoa Bwana ametwaa. Amen.
======
Mke wa Mtangazaji wa Clouds Fm katika kipindi cha Jahazi, Ephraim Kibonde amefariki.
View attachment 806825
Kwa mujibu wa Mtangazaji mwenzie Gadner G. Habash amesema Mke wa Kibonde aitwae Sara Kibonde amefariki usiku huu akiwa anapatiwa matibabu ktk hospitali ya Hindu Mandal. R.I.P
Mungu ni mwema ana mipango yakeEeh ,bro Kibs wakiwa na mkewe pale London pub au escape one,utadhani ndio wanaanza uchumba ,binafsi bro Kibs alikua MC ktk harusi yangu,na mkewe Sarah alinitengenezea Keki na vyote walifanya kishikaji tu km rafiki yao ,nasikitika niko mbali ila msiba umeniuma sana huu
Kweli Mkuu R.I.P Dada /Shemeji Sarah Kibonde [emoji120] [emoji120]Mungu ni mwema ana mipango yake