Mkuu niko nje ya bongo ,kwa kweli nilitamani sana kuwepo ktk msiba huuMkuu kama kuna uwezekano wa kuja kutoka huko mbali hudhuria huu msiba
Nimesoma kwa umakini salamu hizi za rambirambi na nina imani kama hujaandika neno "dally kimoko" basi wale kule juu ni wachinmvi na wanafiki waliotukuka. Bwana ametwaa Jina lake libarikiwe.Pole sana Kaka yangu na Kiongozi wangu wa Kitaaluma pia Ephraim Kibonde kwa Kuondokewa na Mpendwa Mke wako Sarah. Binafsi naungana nawe katika Kipindi hiki Kigumu na namwomba Mwenyezi Mungu akutie nguvu, akupe rehema na uvumilivu pia. Kikubwa tumshukuru Mwenyezi Mungu na tumuombee sana Mpendwa wetu Sarah ili apokelewe vyema huko aendako.
Nimepokea taarifa hii kwa mshtuko mkubwa mno, najua maumivu uliyonayo Kaka ila jikaze na yote tumshukuru Maulana.
Pole sana mkuuEeh ,bro Kibs wakiwa na mkewe pale London pub au escape one,utadhani ndio wanaanza uchumba ,binafsi bro Kibs alikua MC ktk harusi yangu,na mkewe Sarah alinitengenezea Keki na vyote walifanya kishikaji tu km rafiki yao ,nasikitika niko mbali ila msiba umeniuma sana huu
Ni kweli Ephraim ana Dada yake pia anaitwa Sarah yule boss pale SSRA..check your facts please
sarah ni dadake ephraem
Nimesoma kwa umakini salamu hizi za rambirambi na nina imani kama hujaandika neno "dally kimoko" basi wale kule juu ni wachinmvi na wanafiki waliotukuka. Bwana ametwaa Jina lake libarikiwe.