TANZIA: Ephraim Kibonde afiwa na Mke wake Sara Kibonde

TANZIA: Ephraim Kibonde afiwa na Mke wake Sara Kibonde

Pole sana Kaka yangu na Kiongozi wangu wa Kitaaluma pia Ephraim Kibonde kwa Kuondokewa na Mpendwa Mke wako Sarah. Binafsi naungana nawe katika Kipindi hiki Kigumu na namwomba Mwenyezi Mungu akutie nguvu, akupe rehema na uvumilivu pia. Kikubwa tumshukuru Mwenyezi Mungu na tumuombee sana Mpendwa wetu Sarah ili apokelewe vyema huko aendako.

Nimepokea taarifa hii kwa mshtuko mkubwa mno, najua maumivu uliyonayo Kaka ila jikaze na yote tumshukuru Maulana.
Nimesoma kwa umakini salamu hizi za rambirambi na nina imani kama hujaandika neno "dally kimoko" basi wale kule juu ni wachinmvi na wanafiki waliotukuka. Bwana ametwaa Jina lake libarikiwe.
 
Eeh ,bro Kibs wakiwa na mkewe pale London pub au escape one,utadhani ndio wanaanza uchumba ,binafsi bro Kibs alikua MC ktk harusi yangu,na mkewe Sarah alinitengenezea Keki na vyote walifanya kishikaji tu km rafiki yao ,nasikitika niko mbali ila msiba umeniuma sana huu
Pole sana mkuu
 
Pole Ndugu Kibonde, hatua za maisha za kila mwanadamu... Mungu akutie nguvu.
 
Mtangazaji maarufu na kada maarufu wa çcm wa kipindi cha jahaz kinachorushwa na clouds fm ndg ephraim kibonde amefiwa na mkewe usiku wa kuamkia leo alikokua anapatiwa matibabu ktk hosptali ya hindu mandal.pole sana ndg kibonde kumpoteza mkeo Sara RIP
 
Kuanzia jana usiku naona nyuzi zinazidi kuongezeka na kufufuliwa kumhusu Kibonde.
R.i.P Sara Kibs
 
Nimesoma kwa umakini salamu hizi za rambirambi na nina imani kama hujaandika neno "dally kimoko" basi wale kule juu ni wachinmvi na wanafiki waliotukuka. Bwana ametwaa Jina lake libarikiwe.

Kwani Wewe ninavyokuwa naandika hilo neno langu ' pendwa ' kabisa la ' Dally Kimoko ' huwa unaelewa nini? Tuanzie hapa Kwanza.
 
Back
Top Bottom