Barack Obama jr
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 592
- 982
Pole sana kwa Kibonde kwa kumpoteza mkewe Sarah, R.I.P, Amina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kibonde .Mtangazaji maarufu na kada maarufu wa çcm wa kipindi cha jahaz kinachorushwa na clouds fm ndg ephraim kibonde amefiwa na mkewe usiku wa kuamkia leo alikokua anapatiwa matibabu ktk hosptali ya hindu mandal.pole sana ndg kibonde kumpoteza mkeo Sara RIP
How comes anakuacha hadi wewe mwenye kuombea watu mauti???Watu roho nzur ndyo wanakufa lkn wenye maroho mabaya wanapeta tu...sometime Mungu awe anaangalia hizi mambo,how come anawaacha akina mawe na Bash baby?
hivi huwa kuna msiba mdogo?Pole sana kibonde .msiba mkubwa sana huu
Mmh.sio ni maneno ya JFIla huyo Kibonde si alishajitangaza siku nyingi kuwa ni "VIKITIMU"!!!!!
check your facts please
sarah ni dadake ephraem
Kwani Sarah ni huyo huyo mmpja tu hakuna Sarah wengine?!!check your facts please
sarah ni dadake ephraem
Usiwe unacomment kwa maswala haya otherwise uwe unabadilisha Avatar yako Mzee BabaMtangazaji WA CLOUDS MEDIA,BW KIBONDE KAFIWA NA MKEWE