Alirud dar et mwanae ana mtihan wa daras la saba
nini nairobi?? Had kwenye msiba walikuwepo yeye, mama yake na mtoto wake, nasikia walikuwa hawalali msiban, walikuwa wanalala hotelin ila hasubuh wanashinda msiban
Na yule mtangazaji wa BBC

Binamu hadi ya huko unayo mmmmmhhhh nimekuaminiaaa
Umbea kipaji changu jamanii, had leo hujanizoea binamu??,
Wambea wenzangu wakamuuliza kulikon unalala hotelin msiba wa aliyekuwa mumeo, bibie na mdom wake sasa kama flampen asianze kuchonga nn?? Taarabu tukaandikiwa had instagram Akasema misiba ya kenya tofaut na uku, kule kila mt kivyak, misibi n jumamos tu,siku za kawaida wat n mishe zao
Ukweni washamsusa niniii
yule mghana kumalo dumq
Mmh itakuwa mwenzangu, maana haingii akilin kabisa, labda walisema hawamjui yeye wala mtoto wawapishe, maana si unajua wakenya ambavy sio wanafiki??, labd walipew madongo mwenzang
Eti katika picha ya watt wa marehemu mbona sijamuona mtoto wa Monalisa??? kulikoni
Lakini si alishasema kilichokuwa kinasababisha walale hotelini?? Ni kwamba wenzetu Wakenya misiba yao siyo kama sisi, walipopokea maiti ya ndugu yao wakaiweka mochwari then wakawa busy na mambo yao hata msibani hawaonekani na ilipangwa wakutane siku moja kabla ya mazishi.
Sasa hapo wewe utakaa unajiliza nini sasa!? Wenyewe hawalali wenye mtoto ukalale wewe ili...??
Alikua na watoto wangapiii????
aiseeeee