TANZIA: George Tyson Afariki - Msiba mwingine Tasnia ya Filamu

TANZIA: George Tyson Afariki - Msiba mwingine Tasnia ya Filamu

Wametangulia na sisi tunafuata..!! Cha msingi ni kutenda mema na kufwata maagizo ya alie juu nasi tutashinda. Amen!
 
NI VIGUMU KUAMINI.I will always remember you Tyson!!!
 
Aaaah aisee ishakua noma sana i worry to be a star couse if they die like a chiken how can be to me when i will be? R.I.P mbaba wa monalisa aka baba sonia.
 
R.i.p G Tyson
Pole kwa wafiwa,
Mboni alikuwa nani kwa Marehemu?
 
R.i.p G Tyson
Pole kwa wafiwa,
Mboni alikuwa nani kwa Marehemu?

GT alikuwa producer wa The Mboni Show hata kifo kinamkuta walikuwa wote mitaa ya Moro/Dom wanatoka kugawa madawati na kutengeneza kipindi
 
Hivi Kifo sijui huwa tanaonyeshwa sema kutambua kama siku zimefika inakuwa ndio ngumu..

Naona G.Tyson siku ya kifo chake alivaa T.Shirt imeandikwa ' You only live Once '

R.I.P George pole kwa familia yote,Poleni Bongo movie ,ndugu jamaa na marafiki kwa ujumla
 
Wewe acha kumsingizia Mungu kila kitu kibaya Mungu ajali nyingine shetani ndie anayehusika iliyobaki ni kuzivunja zile roho za mauti Mwenyezi Mungu ni mwingi wa rehema na hapendi tufe vifo vya aina hii tuwe tayari kwa vile hatuijui siku wala saa atakapokuja mwana wa Adamu kuja kunyakuwa kilichokuwa chake tukeshe na kusali .
all in all mkuu yeye ndio mkuu wa vyote na mwamuzi wa yote lolote aweza fanya na kuamua lolote aweza zuia au ruhusu
 
Back
Top Bottom