TANZIA: George Tyson Afariki - Msiba mwingine Tasnia ya Filamu

TANZIA: George Tyson Afariki - Msiba mwingine Tasnia ya Filamu

Huyu jamaa likuwa kichwa kwel yaan koz ameibua vipaji vya wengi.sana.. Kwel Mungu anafanya kazi yake!! R.i.p.baba Sonia n pole sana Sonia
 
George Tyson. Mungu akuweke mahali unapostahili.
Poleni BONGO MOVIE.
 
jamani hii bongo movie kuna nini tena tangu kanumba mpaka saivi imekua ni balaa R.I.P Tyson

Umeona eeh yani..km kanumba vile anavuta wenzie..kila kukichaa...ila ndo kazi ya Mungu
 
Nani kaiandama? mbona unaona kama kufa sio haki yake? Au hujui kua kila chenye uhai kitakufa?

mkuu najua kwamba wote safari yetu ni moja lakini huu mfululizo wa matukio ndio ninaousemea hapa
 
R.I.P George
may God rest his soul where it deserve!
dah nakumbuka sana lile movie la GIRLFRIEND, dah hapa GK,AY,NINA pale JMO,TID,MONALISA dah kwel kazi ya Mungu haina makosa
 
Poleni sana wafiwa, nilibahatika kuiangalia filamu ya kuitwa Girlfriend(TID, J MO, AY, GK, MONALISA) bila ya shaka kazi itakuwa ya huyu mkuu,

Kwa kweli niliipenda sana hii filamu.

Hapa tunaonyeshwa kuwa kwa Mungu karibu sana kuliko tunavyofikiria.

Poleni sana, bwana ameleta na bwana ametwaa, kweli kaburini ni mwanzo
 
Msituzingue hapa! Yaani mtu akifa sifa zote nzuri za kwake! Juzi kati kafa Kuambiana naye ooh alikuwa mwongozaji mzuri sana wa picha hakuna mfano, sasa leo tuamini yupi kwamba alukuwa kichwa kati ya Kuambiana name Tyson? RIP
 
Kwani hakuwezi kuwa na director kichwa zaid ya mmoja? ?

Hauzinguliwi mzee, Tyson alikuwa mkali, sema alifanya chache sana na ni kipindi cha nyuma kidogo, baadae akazamia kwenye udirector wa vipindi.

wakati kuambiana ndo alikuwa anachipukia, na katika hizo zote alozofanya kafanya vizuri.
 
ImageUploadedByJamiiForums1401547984.987897.jpgMsanii wa Bongo Fleva AY akiwa amewasili na crew yake nzima kuja kumpa pole Mbonie Masimba, AY alitoa laki 6 kununua jeneza la marehemu Tyson hii ikiwa kama mchango wake kwa kuthamini kile alichomfania wakati akiwa hai. Sasa msafara unaelekea Bongo na mwili utafikia Hospital ya Kairuki iliyopo Mikocheni na naambiwa msiba uko upo Bahari Beach nyumbani kwa marehemu.
ImageUploadedByJamiiForums1401548034.960270.jpgmwili ukitolewa mochwariImageUploadedByJamiiForums1401548073.496758.jpgmwili ukiingizwa kwenye gariImageUploadedByJamiiForums1401548174.369508.jpgambwene na wenzake wakiwa kwenye mishi.
 
Back
Top Bottom