stellahchriss
Member
- Oct 8, 2013
- 29
- 7
Huyu jamaa likuwa kichwa kwel yaan koz ameibua vipaji vya wengi.sana.. Kwel Mungu anafanya kazi yake!! R.i.p.baba Sonia n pole sana Sonia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu ndo umeamka
jamani hii bongo movie kuna nini tena tangu kanumba mpaka saivi imekua ni balaa R.I.P Tyson
Hapa mtaani kwetu tumezika watu watatu jana..
Dah,t shirt imemponza jaman!!!
Nani kaiandama? mbona unaona kama kufa sio haki yake? Au hujui kua kila chenye uhai kitakufa?
Ushauri wa bure, Wakafanye Toba
Umeona eeh yani..km kanumba vile anavuta wenzie..kila kukichaa...ila ndo kazi ya Mungu
RIP George,nimeumia kwa kweli nakumbuka ile movie yao ya kwanza kabisa,nimeisahau jina
tshirt tena?? How???
Msanii wa Bongo Fleva AY akiwa amewasili na crew yake nzima kuja kumpa pole Mbonie Masimba, AY alitoa laki 6 kununua jeneza la marehemu Tyson hii ikiwa kama mchango wake kwa kuthamini kile alichomfania wakati akiwa hai. Sasa msafara unaelekea Bongo na mwili utafikia Hospital ya Kairuki iliyopo Mikocheni na naambiwa msiba uko upo Bahari Beach nyumbani kwa marehemu.
mwili ukitolewa mochwari
mwili ukiingizwa kwenye gari
ambwene na wenzake wakiwa kwenye mishi.