TANZIA TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

TANZIA TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

Pole sana kwa wafiwa na wananchi kwa ujumla.
Chama pia pole tumepoteza mbunge mwaklishi wa wananchi.

Kuna uzi niliwahi kuuvuta unaoongelea swala na scenario kama hii.
Haya sasa, hilo kanisa lake sijui litaendelea? Maana mmiliki ameshafariki.

Ndio shida ya kanisa kumilikiwa na mtu mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya sasa, hilo kanisa lake sijui litaendelea? Maana mmiliki ameshafariki.

Ndio shida ya kanisa kumilikiwa na mtu mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Atachukua Askofu wake Askofu Arthur Kitonga Wa Kenya aliyemlea na kumfikisha hapo na kumwezesha kuanzisha mashule na uendeshaji wake

Askofu Kitonga ana makanisa kibao Tanzania na nchi nyingi tu duniani hadi ulaya na marekani

Usilolijua ni.kama usiku Wa giza
Alikuwa na Askofu wake mkuu Askofu Arthur Kitonga Wa makanisa ya Redeemed Gospel Church hakuwa peke yake
 
R.I.P Mama wewe Mbele sisi Nyuma.

my take:
naomba mtu mmoja JF ambae ni Genius na sote tunajua yeye ni mwandishi mzuri basi na ajitolee haraka kuanza kuandika kitabu kwa side effects za Covid19 nchini (economic, social, political, like culture, health, crime, employment, sports, deaths, BP, conflicts, psychological issues, hunger, corruption, prostitution, sanitation, lack of clothing, stress,depression, unwanted pregnancies, HIV Aids, Malnutrition, Education Standards drop , Gender Discrimination, Mimba za utotoni, Domestic Violence manake hivi sasa watoto na baba na mama wote wanagombea Remote Control ni vita ya tatu ya dunia : tv moja!

Mtoto mdogo = Katuni na Mazombi, Baba = TBC na Al Jazeera , Binti na Mama = Sultani, Ruby Ring na Kara Sevda na MTV India! Brazamen = Hollywood Movies, Mtv halisi Music and Boxing!! kazi ipo na hii Corona!!

tutasikia na kuona mengi namuomba Mungu atuondolee Covid19 nchini Tanzania, Amen

wapi Pascal?
 
Back
Top Bottom