TANZIA TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

Kama ana usajili wake itarudi vipi,hivi kanisa lake ni Tanzania Ass. Of God au ni Assemblies of God?

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Hill alisajili kama Mikocheni B Assemblies of God sio Tanzania Assemblies of God !!!!

Hakuna mvutano Wa kisheria hapo ni makanisa mawili tofauti yenye majina tofauti yenye hati tofauti
 
Mbunge wa viti maalum na mchungaji wa kanisa la mlima wa moto mama Getrude Rwakatare amefariki dunia
May she rest in peace.
Source clouds media.
 
Innaa milkullah yataswarrafu fiinaa kayfa yashaau
 
Pumzika kwa Amani mama Lwakatare, siasa za maji taka zisitutenge….
 
Nasubiri kuona social distancing kuanzia kwenye waandishi wa habari, aki na polepole, Serikali, waumini n.k.

Tuwe makini msiba usijesababisha misiba baada ya siku 14.
 
Mkuu Tanzania hii kuna watu wajinga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani sasa Tanzania Assemblies of God wataanzisha mchakato wa kuchukua kanisa lao. Muda si mrefu mgogoro utaanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…