Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
R. I. P sasa wale wadada wataombewa wapi wapate waume lakini dah upepo wa kisulisuli umeenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli hii dunia ni mapito jamani yule mama kaenda?
Hill alisajili kama Mikocheni B Assemblies of God sio Tanzania Assemblies of God !!!!Kama ana usajili wake itarudi vipi,hivi kanisa lake ni Tanzania Ass. Of God au ni Assemblies of God?
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Sijawahi kukubali Watumishi wa Mungu kuwa wanasiasa kabisa mshika mawili mmoja humponyoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana.Mama si alikuwa anawombea watu wasiumwe yy mbona kaumwa na kufa .yy alikuwa anafufua watu basi naye ajifufue
Mkuu Tanzania hii kuna watu wajinga sanaKiukweli kumbe kuna akili zimetekwa na Corona. Why every death you compare with Covid-19.
Endelea kuota unayoyaomba yatakukuta.
Umeelezwa alikutwa na Mstuko na ameaga dunia unalazimisha iwe Corona. Jiangalie unaweza kuwa ni Mchawi au Mwanga Mkubwa wewe. Watu wanahaha na Covid-19 wewe unaleta utani.
Namkumbuka sana kwenye kale kamchango chake pale bungeni cha kupiga makofi wakati baadhi ya wabunge walipokuwa wanatoa hoja ya kuuawa kwa Zitto!RIP Mama yetu.
You're happy with her death?Mkuu ngoja tuone atakavyozikwa. Ya nini kuandikia mate.
Amina mtumishiNdio ufikirie upya methali unazofuatulia maana huyu alishika matatu na yote akaenda nayo hadi mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana,,,kwa sasa hiv hata mtu akifa kwa mahjwa mengine bado watu hawatakiwi kuwa wengi.Sawa Mimi si muumini wake na sijawai kufika Dar. In short huyo ni mtu mkubwa tutaona mwili utakavyo agwa, ...kama wakimzika kimyakimya basi kongole kwa maelezo yako.