TANZIA TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

Mama si alikuwa anawombea watu wasiumwe yy mbona kaumwa na kufa .yy alikuwa anafufua watu basi naye ajifufue
Dunia hii wanaofanikiwa ni kwa sababu ya ujinga wa wengine. Mijitu mizima unaikuta front seat kumbe inafuatilia deals. Bahati mbaya wema wanajikuta mikononi mwa watu kama hawa.
 
huu uzi asubuhi ulikuwa na speed ya epidemic, naona umefikia peak tayari.
 
Pumzika mama,poleni ndugu wafiwa Mungu awape nguvu ktk kipindi hiki kigumu.
 
Watu wengi hawamjui mama Rwakatare , ndio mmiliki wa Kituo cha Radio cha Jijini Dar es salaam Prise FM.

Ndio mwanzilishi wa shule za St Marys Tanzania. Kwa kweli mama alikuwa na kipawa ameacha alama duniani.

Tujiulize Mimi na wewe tutaacha alama ipi huku duniani pindi tutakapoita na Mwenyenzi Yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo sawa
Hill alisajili kama Mikocheni B Assemblies of God sio Tanzania Assemblies of God !!!!

Hakuna mvutano Wa kisheria hapo ni makanisa mawili tofauti yenye majina tofauti yenye hati tofauti

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Zinasaidia kujua maisha ni mzunguko leo kwa yule kesho kwako
Wale wa kujimwambafy waliwekeza kwenye ndumba kuliko kwa Jehovah wanaodanganywa na masangoma kuwatabiria ya kesho yao hii salama hawawezi kuelewa.

Kwamba maisha ni Safari wote njia moja uwabambikie kesi watu,uwapige risasi,uimbiwe mapambio usiku na mchana ujenge mahekalu kila sehemu yote ni bure kuukimbiza upepo tu havitokuokoa na hukumu duniani wala mbinguni.
 
Sandiego,
Hizi ni kama vijiwe, kiosks au grocery za Sinza za miaka ya 1990's kila mwenye nyumba kando ya barabara aliweka viti vya plastic kupata wateja wapitao njiani.

Mama amefanya zamu yake, kaondoka, wanaobaki ni juu yao kujiongeza au wazubae chimbo life.

Apumzike kwa amani.
 
YEHODAYA, Hili jina la Arthur kitonga limenifikirisha nimejaribu kuunganisha dont na Hardware ya Kitonga Hardware ya Jijini Arusha mmiliki ni Arthur Shayo . duka ni kitonga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania assemblies of God haihusiki hata kidogo
Nadhani sasa Tanzania Assemblies of God wataanzisha mchakato wa kuchukua kanisa lao. Muda si mrefu mgogoro utaanza.

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…