Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,705
- 4,703
Dunia hii wanaofanikiwa ni kwa sababu ya ujinga wa wengine. Mijitu mizima unaikuta front seat kumbe inafuatilia deals. Bahati mbaya wema wanajikuta mikononi mwa watu kama hawa.Mama si alikuwa anawombea watu wasiumwe yy mbona kaumwa na kufa .yy alikuwa anafufua watu basi naye ajifufue