naangalia hapa dialog yake enzi za uhai wake Clouds TV 360.. Kumbe huyu mama alikuwa very intelligent
Mama wa upepo wa kisuli suli. RIP
All in all amemaliza muda wake duniani karejea kwa Muumba wake Ingekuwa ni mizimu isingeacha wote. Usimnene au kumtakia mabaya mwenzio Hali nawe huna Kinga nayo check waliombea lowasa atangulie wakatangulia wao,Zito atakuwa alifunga akaomba kwa mizimu ya kigoma Burundi na Congo
Mungu aepushie mbaliSerious mkuu
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Mama wa # milima ya moto kwel umeshindwa kuzuia #kifo? Hapa ndipo Mungu huitwa Mungu kweli tena hutamkwa kwa jina kuu.
#Allah_Subuhana_wa_taala Mungu amuweke anapostahili #Amen
Kiukweli kumbe kuna akili zimetekwa na Corona. Why every death you compare with Covid-19.
Endelea kuota unayoyaomba yatakukuta.
Umeelezwa alikutwa na Mstuko na ameaga dunia unalazimisha iwe Corona. Jiangalie unaweza kuwa ni Mchawi au Mwanga Mkubwa wewe. Watu wanahaha na Covid-19 wewe unaleta utani.
Anastahili taji la malkia wa nguvu maana ana mchango wake asee. Yeye ni ICON
R.I.P strong lady...
AMINA!Hizi ni kama vijiwe, kiosks au grocery za Sinza za miaka ya 1990's kila mwenye nyumba kando ya barabara aliweka viti vya plastic kupata wateja wapitao njiani.
Mama amefanya zamu yake, kaondoka, wanaobaki ni juu yao kujiongeza au wazubae chimbo life.
Apumzike kwa amani.
Kwenye haya masuala familia huwa haisikilizwi competent authority ni Maabara ya Taifa au Pathologist ....ndugu yeyote atapenda kusema tofauti kukwepa kadhia ya kwenda kuwekwa karantini nyumba nzima ...huo ndio uzoefu ,,,ni bora wakasubiri majibu toka maabara kuu ya taifa au kwa chief pathologist wa serikaliHeri familia yake imekuwa wazi kwenye chanzo cha kifo chake mapema kabla wavimba macho hawajapigia porojo zao.
Hadi leo ulikua Bado hujaamini kama tunapita tu?Duu kama ni kweli basi duniani hapa kweli tunapita.r.i.p
Maombi ni silahaOoh jamani
Poleni sana familia na wote
R.I..E.P Mchungaji
Kuepuka porojo ni heri walichofanya kuliko wangekaa kimya.Kwenye haya masuala familia huwa haisikilizwi ....competent authority ni Maabara ya Taifa au Pathologist ....ndugu yeyote atapenda kusema tofauti kukwepa kadhia ya kwenda kuwekwa karantini nyumba nzima ...huo ndio uzoefu ,,,ni bora wakasubiri majibu toka maabara kuu ya taifa au kwa chief pathologist wa serikali