TANZIA TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

TANZIA TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

Heri familia yake imekuwa wazi kwenye chanzo cha kifo chake mapema kabla wavimba macho hawajapigia porojo zao.
 
Kwenye masomo, kuna mtu aweza kuishia njiani na Mwingine akafika juuu kabisa na kutunukiwa shahada mbalimbali

Lakini Kwa upande wa kifo, ni tofauti kabisa, kila mmoja ni lazima ahitimu, utake usitake
 
Zito atakuwa alifunga akaomba kwa mizimu ya kigoma Burundi na Congo
All in all amemaliza muda wake duniani karejea kwa Muumba wake Ingekuwa ni mizimu isingeacha wote. Usimnene au kumtakia mabaya mwenzio Hali nawe huna Kinga nayo check waliombea lowasa atangulie wakatangulia wao,

wapo waliosema kufika June 2017 watakaobakia dar ni wanaume kwa kusomeshwa namba matokeo yake wameondoka wao wametuachia mji wanaume tupo Sana mjini hatuondoki leo wala kesho Corona Mungu aepushe tu mbali.
 
Duuh mwaka wetu huu.
 

Attachments

  • IMG-20200420-WA0049.jpg
    IMG-20200420-WA0049.jpg
    38.7 KB · Views: 2
Kwani kuna mwanadamu ataishi milele mkuu?

Mitume na hata manabii wa kale walionja mauti
Mama wa # milima ya moto kwel umeshindwa kuzuia #kifo? Hapa ndipo Mungu huitwa Mungu kweli tena hutamkwa kwa jina kuu.

#Allah_Subuhana_wa_taala Mungu amuweke anapostahili #Amen
 
Kama ni corona hatazikwa na watu wengi.. kama sio corona nadhani yatafanyika mazishi ya kawaida.

Lakini Wanzania tupunguze kuishi kwa mashaka.. corona sio kifo.. 98% wanapona.

Yaani yale mafua ya january yakirudi muda huu wengi tuta aga dunia kwa hofu.
Kiukweli kumbe kuna akili zimetekwa na Corona. Why every death you compare with Covid-19.
Endelea kuota unayoyaomba yatakukuta.

Umeelezwa alikutwa na Mstuko na ameaga dunia unalazimisha iwe Corona. Jiangalie unaweza kuwa ni Mchawi au Mwanga Mkubwa wewe. Watu wanahaha na Covid-19 wewe unaleta utani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ni kama vijiwe, kiosks au grocery za Sinza za miaka ya 1990's kila mwenye nyumba kando ya barabara aliweka viti vya plastic kupata wateja wapitao njiani.
Mama amefanya zamu yake, kaondoka, wanaobaki ni juu yao kujiongeza au wazubae chimbo life.
Apumzike kwa amani.
AMINA!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri familia yake imekuwa wazi kwenye chanzo cha kifo chake mapema kabla wavimba macho hawajapigia porojo zao.
Kwenye haya masuala familia huwa haisikilizwi competent authority ni Maabara ya Taifa au Pathologist ....ndugu yeyote atapenda kusema tofauti kukwepa kadhia ya kwenda kuwekwa karantini nyumba nzima ...huo ndio uzoefu ,,,ni bora wakasubiri majibu toka maabara kuu ya taifa au kwa chief pathologist wa serikali
 
Kwenye haya masuala familia huwa haisikilizwi ....competent authority ni Maabara ya Taifa au Pathologist ....ndugu yeyote atapenda kusema tofauti kukwepa kadhia ya kwenda kuwekwa karantini nyumba nzima ...huo ndio uzoefu ,,,ni bora wakasubiri majibu toka maabara kuu ya taifa au kwa chief pathologist wa serikali
Kuepuka porojo ni heri walichofanya kuliko wangekaa kimya.

Unafikiri wazushi wangesubiri hizo mamlaka?
 
Back
Top Bottom