TANZIA TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

Hata njia ya Mungu aliiacha Muda. Wapo viongozi ambao aliwaziba midomo kwa kiburi cha pesa zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania assemblies of God haihusiki hata kidogo

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Nakumbuka mwaka 2008 kipindi Mama Rwakatale anachaguliwa Ubunge alikabidhi kanisa TAG na ikatokea mgogoro.

Nadhani ni jengo au eneo la TAG kama sijakosea.
 
Mimi simuombei kwa kupitia JF kwa sababu ilikuwa ni wish zake kuwa huu mtandao ufungiwe na kwa maana hiyo nisingeweza kumuombea kupitia humu anyway. Luckily, her wish might have as well died with her!
 
Sio kweli Mtu akifa hati ya kifo ya hospital huonyesha kafa kwa ajili ya nini acha porojo huyo kafia hospital sio nyumbani
 
It won't save any purpose marehemu hawarudi.
 
Mnazareth,
Mama Lwakatare, wewe umekuwa mfano bora kwa kina mama, kwa kweli kwa watu wa warika lote, umefanyakazi nzuri saaana RIP MAMA. AMEN -

Kuna wenye wasiwasi kuhusu CV ya mama Lwakatare, naomba kidogo nitoe ufafanuzi haswa kwa wale wasiojua vizuri historia ya mifumo ya elimu ya nchi yetu. Kabla ya mwaka 1968 elimu ya msingi ilikuwa ni miaka minane na iligawanywa kama ifuatavyo Lower primary school miaka minne yaani darasa la kwanza hadi la nne, shule hizi zilikuwa nyingi na waliofaulu mtihani wa darasa la nne waliendelea na masomo ya darasa la tano hadi la nane (hizi ziliitwa upper primary school kama ni day ama middle school kama ni boarding)

mfumo huu ulifutwa mwaka 1968 na mwaka huo waliokuwa darasa la saba na darasa la nane walifanya mtihani mmoja. Kuanzia hapo hapakuwa tena na Lower, upper ama middle schools kwa elimu ya msingi bali zote zikawa shule za msingi (yaani darasa la 1-vii) kwa maana kwamba zilizokuwa zinaishia darasa la nne ziliongeza vyumba vya madarasa na walimu.
 
So kweli MTU akifa hati ya kifo ya hospital huonyesha kafa kwa ajili ya nini acha porojo huyo kafia hospital sio nyumbani
Sasa hiyo hati ya kifo huwa inaandaliwa na familia? maana hoja yako ilikuwa bora familia wamesema ! familia kwenye hili sio competent authority na hati ya kifo hutoka baada ya vipimo vya pathologist.

Halafu tumia lugha ya staha basi sio wote tunapenda kutumia lugha za kukashfiana ....sasa porojo zangu hapo ziko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…