Truth Teller
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 1,623
- 2,892
Hata njia ya Mungu aliiacha Muda. Wapo viongozi ambao aliwaziba midomo kwa kiburi cha pesa zakeTanzania Assemblies of God sio kanisa la kata, ni kanisa kubwa sio tu Tanzania bali ulimwengu mzima, kanisa hili lina misingi kamili na imara lakini huyu mtumishi alichepuka na kulifanya lake kuwa ministry baada ya kujijenga. Huwenda likarudishwa kwa kanisa mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app