TANZIA TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

TANZIA TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

#HABARIZAHIVIPUNDE:Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) na Mchungaji wa Kanisa la Mlima wa Moto (Mikocheni B Assemblies of God ) Mchungaji Dkt.Getrude Lwakatare amefariki dunia Alfajiri ya leo.

Kwa mujibu wa mtoto wake amesema marehemu alikuwa akisumbuliwa na Presha. ITV on Twitter
 
Mchungaji Getrude Rwakatare wa kanisa la mlima wa Moto afariki Leo alfajiri

Chanzo EATV
FB_IMG_15873630077982186.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom